ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Binafsi hata kupostiwa mitandaoni naona nachoreshwa tu, yaani hata sipendi.Sijui inakuwaje yaani kwani kupostiwa kwenye social media ndio inaonyesha kama unapendwa? Upendo upo moyoni sio kupostiwa kwenye ma social networks
Kila mtu ana uchaguzi wake manake kila mtu anaubeba mzigo wake mwenyewe.