Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Najisikia vizuri tu sababu watoto ni baraka, kama humpendi mtoto wa mama wa wanao huwezi kumpenda yoyote yule

Ukiwa na roho ya kwanini ndio unaweza kuumia kuona mtoto wako ( naam Baba wa Kambo nae ni baba) akipostiwa kwa maneno mazuri
 
Mna akili za kifwala sana,
Mkeo,mpendwa wako hawa viumbe ni mama yako tu
 
Wacha uongo wewe tupo mtaani hizi stori mnazitunga humu humu, wewe ulikimbia sababu ya majukumu mvulana goigoi hujiwezi mdwebwedo. Ulifikiri mapenz ni kumpandia tu? sasa umemuacha sababu ya kushindwa kulea kaja mwanaume shababi kukusaidia mvulana halafu unaleta taarabu🤣🤣🤣🤣wewe tulia tu usaidiwe na jina linabadilishwa anapewa baba anayelea🤣🤣🤣
Na mtoto badae akija kuwa diamond ndio mwanang nionee huruma wakati ulikuwa unakimbiza vichupi vya miaka17🤣🤣
Yaani ndo maana wanaume wanapungua siku hizi wamebaki wavulana tu, lea mtoto wako haijalishi nini hata kama ni utalal njaa hakikisha anakula haijalishi jua wala mvua
 
Mjinga ni mwanaume anayezaa hovyo hovyo na hajui hata malezi ya mtoto wake yakoje, yupo busy kutamba kwa rafiki zake ana watoto kadhaa kila mmoja na mama yake, kwangu huyo ni mwanaume mjinga na hajitambui.
Na ndiyo tatizo kubwa linapoanzia
 
Wanaume wengi mnaopenda kuoa single maza ni kwa sababu mnaona hao ndio wanawake warahisi a.k.a ganda la ndizi

Wengi wako tayari kufanya maisha na mwanamume yeyote kwa sababu wako cheap wanahofia soko lao

Sijawahi kuona single maza mgumu kutunuku mbususu. Mimi mwenyewe kuna single maza naruka naye simu moja tu anakuja kunitunuku kwa sababu nilimdanganya nitamuoa

Na niliwahi kuchunguza simu yake ana wanaume kibao, na mazungumzo yake ni kutaka wamuoe

Tupo kama 8 hivi sijajua hao wenzangu 7 wanakula kisela kama mimi au ni wajinga kama nyie wana mpango wa kumuoa kweli

Ogopa sana single maza
 
Hzo stori unajitungia tu, wala sisi hatujawahi kuziona labda ulete ushahidi tuone🤣🤣
 
Pole sana matokeo ya maamuzi yako yalikuaje baadae ulijutia au mambo yalienda vizuri?
Mambo yko poa na simlei mwanae .... Sinaga story nae yuko kw bibi yake huko
 
Single maza tunawabeza sana ila sisi wanaume ndo sababu kuu ya wao kua single maza maana tulikua na ham ya utelezi uongo mwingi sana mtoto wa watu anakupa moyo wake plus anaacha ujilie tunda kwa raha zako mara pa mimba hiyo.Mm km kuna zambi Mungu atanitesa nayo ni kuzaa watoto wanne kila mmoja na mama yake ila mama watoto wawili wameolewa wawili wapo single.Hao walio olewa hua wanafanya ujinga sometime ila mm wakinihusisha hua mkali sana waheshim ndoa zao ila ukweli niseme tu ukizaa na dem tena ndo awe mtoto wake wa kwanza huyo kukupa uchi hakunyimi ww tu uwe na msimamo wa kuheshim ndoa yao.
 
Unakwepa chama chetu wewE... CHABAKATA ......
 
Vijana wanatumika bila ya wao kujijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…