Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Hata married woman anaweza kupost hvyo mbona sio kitu cha ajabu
 
Single Mother ndio wanaongoza kutoa Mbususu hovyo, na pia Single Mother ndio wanaongoza kujiuza kwenye Madanguro.

INASIKITISHA SANA.
 
Kabla ya kuoa single mom hakikisha umetengeneza bond ya wew na mtoto,

Kama umeweza kutengeneza bond kwa watoto wa dada ako au bro ako na wakakupenda kama uncle wao na ukienda kuwaona wanafuraha muda wote bas mtoto wa single mom hatokushinda

Kuna watu wana damu na watoto automatically yaani unakuta tu wanawapenda watoto and vice versa na wana wakubali

Kama wewe sio mpenzi wa watoto bas single mom kaa nao mbali coz utakuwa disappointed kila mara

Another thing ukiona hamuwezani na single mom bas piga chini maisha yenyewe mafupi haya just be free and enjoy life

But me na recommend ni bora mtu uanze to Square one kama unataka kuoa na kama unataka kuzaa tu basi zaa na yeyote hata single mom
 
Na Wala sio kupigwa kwao matukio hawajui sababu wanajua kuwa hawajielew hata mwanamke asiwe single mother hawezi kuwa na mwanaume wa ovyo asiejitambua Wala kujua nafas yake kama uliumbwa mwanaume kubali kuwa kiongoz na mtawala hakuna mwanamke Wala single mother ataekupiga matukio vijana wapew elimu ya kuwa wanaume ukiachana na jinsia wajue ni kuwa mwanaume ni kichwa
 
Vijana wanatumika bila ya wao kujijua.
SIngle maza wenyewe basi wanawaheshimu baba walezi ni ile basi tu maisha yaende.

Kwa sababu hata wao wanawake wakikutana huko wanawapondaga sana baba wa kambo wanawaitaga wajinga.

Nilishawahi kusikia single maza mmoja akiwa salon na mashosti zake wakisema Kweli mwanamume mzima anakosaje mwanamke ambaye hajazalishwa ila wewe shoga yangu mgande usimwache akulelee mtoto wako
 
Ss mkuu huku mtaan singo maza hawna hizo sifa. Ni wanawake safi wanaojiheshimu, ila wavulana ambao wapo humu hawana uwezo wa majukumu ya kiume ndio husema singo maza matatzo ili tu makosa yao wapate sbb ya kuyatetea
Hata huyo single maza tunayetoka naye, mtaani kwao ana sifa nzuri sana. Kila Jpili na J4 anaenda kwa Mwamposa.

Wanakuwa wanafiki sana, ili kidume ajichanganye afanye naye maisha kama wanetu kwenye huu uzi waliooa single maza walivyojichanganya
 
Unahakika hao ambao hawana watoto hawajatombeka wala kushika mimba?
 
Sasa kama wewe unajiweka nyuma nankumuona single mother hapetiwi petiwi , wakati mwingine moyo hukosa wakumpa furaha ana amua kujipa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…