Unajisikiaje ukipewa DISLIKE kwenye comment yako?

Eti sister watu wana nongo sana alaf naewachezea akili nina 19 wao unakuta wana 30+ huko ila wanalialia tu hapa 🤣🤣🤣
Do ya thing hommie.
I believe you are just doing this for fun.
Its okay to play sometimes.
We cant be serious all the time.
Kwa upande wangu huwa ukinitwangaga hizo dislike huwa nacheka sana.
Kuna mahali nilikutetea halafu ukanitwanga dislike nilicheka sana mana sikutegemea.😂
Najua hata hii coment utaitwanga dislike mwehu wewe😂
 
Aksante kwa Ushauri.

Nimeona Uzi mwingine mdau analalamika kapewa Dislike nyingi Imenipasa nicheke . Tumefikia Hatua ya kujali Like na Dislike.


Anyway Like hii Comment nijiskie vizuri.
Anaitwa Kabinti ka ludilo amemaindi kweli
Aksante kwa Ushauri.

Nimeona Uzi mwingine mdau analalamika kapewa Dislike nyingi Imenipasa nicheke [emoji3][emoji3][emoji3]. Tumefikia Hatua ya kujali Like na Dislike.


Anyway Like hii Comment nijiskie vizuri.
Anaitwa Kabinti ka ludilo amemaindi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…