Unajisikiaje ukipewa DISLIKE kwenye comment yako?

Unajisikiaje ukipewa DISLIKE kwenye comment yako?

Eti sister watu wana nongo sana alaf naewachezea akili nina 19 wao unakuta wana 30+ huko ila wanalialia tu hapa 🤣🤣🤣
Do ya thing hommie.
I believe you are just doing this for fun.
Its okay to play sometimes.
We cant be serious all the time.
Kwa upande wangu huwa ukinitwangaga hizo dislike huwa nacheka sana.
Kuna mahali nilikutetea halafu ukanitwanga dislike nilicheka sana mana sikutegemea.😂
Najua hata hii coment utaitwanga dislike mwehu wewe😂
 
hizi kengeles zimetoa 👎 kubabake sijui zinakulaga ugali na sukari
Screenshot_20230518-115702.png
 
Aksante kwa Ushauri.

Nimeona Uzi mwingine mdau analalamika kapewa Dislike nyingi Imenipasa nicheke
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
. Tumefikia Hatua ya kujali Like na Dislike.


Anyway Like hii Comment nijiskie vizuri.
Anaitwa Kabinti ka ludilo amemaindi kweli
Aksante kwa Ushauri.

Nimeona Uzi mwingine mdau analalamika kapewa Dislike nyingi Imenipasa nicheke [emoji3][emoji3][emoji3]. Tumefikia Hatua ya kujali Like na Dislike.


Anyway Like hii Comment nijiskie vizuri.
Anaitwa Kabinti ka ludilo amemaindi kweli
 
Back
Top Bottom