Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Mpaka hao wanawake wawapige KELBU ndio huwa akili inareboot!!!

📌KATAA NDOA,NDOA MAANA YAKE UMEKUBALI KUMTUMIKIA HUYO MWANAMKE MPAKA ATAPOKUACHA,STUKA MNAIBIWA NGUVU NA MUDA WENU!!!
Mimi katika maisha yangu nimepata mafanikio makubwa baada ya kuoa.
Kabla sijaoa nilikuwa na utaratibu wa ku save pesa nyingi benki na hazinizalishii kitu chochote. Ila baada ya kupata jiko stori imekuwa ya tofauti, tule tu pesa ambatwo nilikuwa natuona tudogo kupitia mke wangu tumeweza kufanya mambo makubwa beyond my imagination.

Kwa hiyo anayetaka kuoa aoe, anayetaka kuolewa aolewe, anayetaka kutooa au kuolewa abaki na msimamo wake ila marufuku kuzungumzia mambo ya ndoa yasiyomhusu.
 
ila kumuamini mwanamke uliemkuta Katumika ni sawa na kuiamini CCM
 

Attachments

  • 0d3f72277f2f0b0c1a9e9dbb4e46a10b.webp
    581 KB · Views: 11

Attachments

  • Screenshot_20260809_201932_X.jpg
    100.6 KB · Views: 13
  • HPLpryJWUAAKkS1.jpg
    265.9 KB · Views: 9
Hii noma aisee🙌🏼 Huyo mjeshi hajapata fununu zozote mpaka sasa?? Wanawake wana siri nyingi aisee kweli mtu akisema wanaume tuoe bikra aeleweke tu!
Hajapata fununu zozote zile hadi leo,,,kiukweli huyo dada ni dhaifu kwa huyo mshkaji balaa....kiukweli tunabisha tu ila mwanamke bikra ni muhimu mno kumuoa
 
Hii mada haiishi tu humu jamani 😁😁😁tunaiona wakati tuna bikra mpaka sasa hatuna bado ipo tu kheeeee
 
basi sasa inatosha😁😁😁
 
Sio muda wa kupeana moyo huu tumaambiana uhalisia, yani Iko hivi Kuna muhuni kapafumua mbele na yuma we ukigusa NYUMA unaambiwa baby, sipendi hizo, mwenzako haombi ni kubinua anapashugulikia kisawa sawa,

Umekomalia naoa naoa, Lionel kama zezta Fulani, takukata Kofi, stupid

Nawatania mwaya mi mwenyewe naoa
 
Akiwa kwako mwanaume mpumbavu utasikia anakwambia, baby nimechoka siku NYINGINE jamani, akiwa Kwa muhuni utasikia, anasema, yes yes yes *** it, na makofi ya makebo anapigwa pa pah pah pah
 
Demu wa msela, unaingia kwenye anga zake
 
Mwanaume na mwanamke hawafanani hata siku moja! Mwanaume anatumia ila mwanamke anatumiwa! Mwanaume aliyetembea na wanawake 100 na mwanamke aliyetembea na wanaume 100 hawafanani! Hilo weka akilini na usisahau!
 
Haha bana hii ndio sababu wanaume wengi wamekimbilia PasuaX kupiga mahela na kujenga maisha yao, waache wanawake wenye historia nyingi 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…