Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Hakuna kinachoweza kufanyika bila idhini yake, labda awe amebakwa. Sasa kama thamani yake ipo kwenye kujitunza na anachanua mapaja kwa hiyari yake hapo ni yeye ndie atakaewajibika
Ila sisi binadamu si wakamilifu mkuu. Kuna kutapeliwa na kudanganywa pia, achilia mbali kubakwa. Timu inaweza kufungwa kwa makosa ya wachezaji wa ndani pia, siyo kwa makosa ya golikipa tu peke yake.
 
Mkuu kwahiyo bikra ungemuoa ila used unatumia mfumo wa sogea tukae
Si unasikia wanasema akiwa used ujue ni mke wa mtu, sasa me naanzaje kuoa mke wa mtu bwashee.

Hata mahari nimetanguliza baada ya kunizalia mtoto wa kwanza, alivyozaa wa pili nikamalizia mahari na sina mpango wa kumuacha leo wala kesho maana huyu used girl ni mtamu balaa labda mume wake amuijie.
 
Labda kama sijakuelewa!

So unataka kusema wewe leo ukisikia mkeo au sijui mpenzi wako ametdunguliwa na msela akakwambia sababu za kufanya hivyo ni hisia utamuelewa?
 
Sema mleta yuko sahihi sana

Kweli unaenda kuoa mwanamke ambaye siku mbili zilizopita kabla ya harusi kadinywa na maex zake watatu kwamba wanaagana!!

Changamoto sana
Na wewe kabla hujamuoa umedinya wangapi? Nao si wanaenda kuolewa na watu wengine? Ila unayemuoa wewe hutaki awe amedinywa...mnachekesha
 
'Mpe ajira'ili aache kuwananga ,,ila kaandika ukweli mtupu...km mwanamke amepoteza bikra yake kizembe hana haja ya kupigiwa matarumbeta huyo ni wa kuvuta na kuishi nae tuu kihuni km alivyofanya uhuni wake na kuipoteza bikra kizembe
 
Haya mambo yanaumiza mno Kuna dada mmoja wakati tunasoma sekondari alitoa mimba kama 3 hivi za mwanafunzi mwenzetu ambae alituzidi darasa huyo ndie alimbikiri....huyo dada baadae akaenda kusomea uuguzi na akapata ajira ila Kuna mwanajeshi kamuoa sasa tangu amuoe hajashika mimba na mbaya zaidi ni wakristo inamaana upuuzi wa huyu dada ndio unamgharimu hata mwanaume asie na hatia...kwasababu ukweli ni kwamba yule dada hawezi kuzaa na chakushangaza mumewe hajui chanzo cha hili...na huyo brother aliemuharibu mtoto wa watu bado anaendelea kupiga tu kila wakikutana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…