Unajua kutofautisha kati ya neno furaha, neno utamu, na neno raha?

We mada zako huwa za kichokozi sana
Ki vip tena
Yaani umeuhamisha ubongo wangu sehemu mbali mbali
Ubongo wako nimeuhamishia wapi
Nimewaza, chakula, Nimewaza nyimbo zangu pendwa, nikamwaza mpenzi niliye nae, nikamwaza crush wangu Binti wa zamani na bado hapo hapo ukani kumbushia ex.. Sasa hapa focus yoote imetoka kwa muda
Utakufa vibaya wewe 🤣🤣🙌
Daah kwanini unanifanya hivi?
Nimekufanyaje kijana dah🥲
 
Elewa kuwa 'Furaha' ndiye baba wa mhimili wa maisha ya mtu.
Sawa mkuu
Hapa neno 'Utamu' tuliondoe katika muktadha huu, maana halihusiani na furaha waka raha, maana utamu ni aina ya ladha na kinyume chake ni 'uchungu'.
Sawa
Lakini furaha na raha ni 'mtu na mke wake' maana palipo na raha, furaha hakosekani na palipo na furaha, raha yupo, anayetangulia mbele ya mwenzake ni mr Furaha!
Sawaaa 😊
Vyote hivyo ni hisia na ukivihitaji vina gharamikiwa kwa mazingira ama kwa pesa.

Furaha ndiyo thamani halisi ya maisha ya binadamu.

Furaha ikikosekana, dunia utaiona chungu na huwezi kutaka kuishi tena.
asante sana
Kufungwa ama kutengwa, huwa ni kumnyima mtu furaha.

Mafundisho ya dini yanatuasa tutende mema ili tuje tupate furaha ya milele na kinyume chake ni majuto ya milele.

Umeona furaha ilivyo na thamani?
Nimeona furaha ni ya thamani zaidi asante sana 🙏
 
Nimefanya
vibaya wapi ?
Natania tuu

Ila my pov kuna utofauti sana kati ya dhana zote hizo...

Ni kama raha na utamu vinaendana

Ila furaha ni kitu kisicho depend raha au utamu. Furaha ni utulivu wa mwili, akili na moyo
 
Ili uwe na furaha,raha na utamu lazima uwe na pesa
 
Natania tuu

Ila my pov kuna utofauti sana kati ya dhana zote hizo...

Ni kama raha na utamu vinaendana

Ila furaha ni kitu kisicho depend raha au utamu. Furaha ni utulivu wa mwili, akili na moyo
Haya asante kwa maoni yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…