Unajua kwa mwanamke nywele za sehemu za siri na kwa mwanaume ndevu zina kazi yake kunako?

Unajua kwa mwanamke nywele za sehemu za siri na kwa mwanaume ndevu zina kazi yake kunako?

Fungus hazipatikani kwenye mavuzi
Zinaishimo kwenye mavuzi ndio maana hua unajikunakuna usipooga wiki nzima unahisi ni nini kile kinachowasha kwenye mavuzi km sio fungus na vuzi lako linakua linatoa harufu mbaya na kali sana, unafuga viumbe kwenye vuzi madam nyoa
 
Na sio kila alichokiumba Mungu bas kinastahili kuwepo, Tusingekata kucha sababu Mungu ameziumba, magovi tungeyaacha yaning'inie jandoni, nywele tusingekata kutopingana na uasili wa Mungu aliotupa
 
Back
Top Bottom