Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Hakuna aliesema nas hajui... ila kwenye muziki wa hip hop tupac ni icon... uez kuzungumzia hiphop bila kumuhusisha pac
Siku zote mtu hujilinganisha na yule anaemzidi. Kwahiyo kitendo cha Nas kujilinganisha na Pac, hii ni ishara kuwa Nas mwenyew anamkubali na kumheshimu Pac.
 

Attachments

  • images (29).jpeg
    33.7 KB · Views: 10
  • images (32).jpeg
    17.1 KB · Views: 9

Kaka ilitoshe tu kusema Pac ilikua ni package kamili acha hawa wadogo waropoketuu.
 

Kwanza ichek koba Pac ilivotupia🫡
 
Kwenye hizo picha Big anaonekana wa kuja sana ,2Pac amechangamkia camera na mikato yake ya kijanja.
 
"Ain't no nigga like me, fvck Jay Z
He broke and I smoke daily, baby, let's be friends" [emoji23][emoji23]TUPAC-FvCK FRIENDS
 
nadhani sasa kuna haja ya uzi, tukiwaachia muendelee kupotosha uma namna hiii watu wanaweza amini kuwa msemacho ni kweli wakati sivyo.

Em alimcopy pac na hujazungumzia ni Nyimbo ipi, ila umesema sijui rap cartoon hivi rap cartoon vile.......
em wa 2012 kushuka chini?
huyo ndio Em mwenye the eminem show, relapse, na album kali nyingine ambazo sidhani kama ni katuni kwako.

pac alikuwa yupo concious ndio, more kama mwanaharakati kuliko msanii.
ukiskiliza album ya kwanza 2paclypse hadi ya mwisho akiwa hai the don killuminant, utachoka ladha ni ile ile style ya uimbaji ni ile ile.


nowhere near Nas, Em, BIg hao wamemuacha kilometer nyingi kwangu kama mpezi na mnazi wa hiphop.
lifestyle yake ndio imempa umaarufu, nna uhakika kuna watu wanajua kuhusu kifo chake ila hawajui chochotee kuhusu nyimbo zake nna hawataki kujua labda.
 
2PaC ana nyota kali ya umaarufu unakuta muhuni mtaani anajiita 2paC ila hajui hata ngoma moja ya Pac .
 
2PaC ana nyota kali ya umaarufu unakuta muhuni mtaani anajiita 2paC ila hajui hata ngoma moja ya Pac .
ndio nachosemea hapa, watu wanahadaika na nyota ila kimuziki ni level ya kawaida tu.......
binafsi navutiwa zaidi na interviews zake kuliko ngoma zake
 

Jamaa kazaliwa mwanaharakati, mama yake alikuwa black panther
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…