Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,239
- 29,566
Kwenye michango mingine unakuwaga na akili Mzee baba,ila likija swala la Samia mbona unakuwa kiazi hivi?Gwajima alimshambulia Rais hadharani kwa kusema asiwatumbue wateule wake wa vyombo vya ulinzi hadi bunge liamue. Angeongelea tu utekaji na kuzitaka mamlaka zishughulikie isingeleta shida. Tatizo ni mashambulizi yake kwa Rais
Dunia opo kasi sana, leo hii Mudawote na wewe unalalamika sambamba na watanzania wengine wa kawaida??? Ingawa kwenye Magrupu ya CCM unafanya unafiki mkubwa sana wa kujifanya Mpambe na Chawa wa Kiumbe ila huku unamwagika, imgawa haujiamini sana.GENTAMYCINE kila jambo huwa lina mwisho wake. Mi ninvyoona hapa ni ule utendaji kazi wa Dkt Kikwete (rejea ile kauli yake labda mambo yaharibike sana), na pia ukicheki kiundani aki riep current ceo ina make sense laana ya kushindana na nguvu za Mungu parapanda italia na rais na makamu mwingine atakuja na kitakachofuata ni 🤬 kumsema vibaya kama old ceo kwenda mbele na kusafisha kisiwa chote rudisha kwao. Sasa sijui huu mtego nani kaingia mkenge, ndiyo maana it is too early kufikia conclusion my bosi wangu.
Hii ya KUBUTUA MPIRA MBELE Simba wangeitumia kwenye first leg barkane wasinge chukua kombe.🤣Kila kitu ni strategic strategic.. hiyo ni looserthink. Wenye strategies walishatekwa na kuuawa, wengine wapo wanazushiwa kesi na wako mahabusu.. hzi 'strategies' ni doctrines of docility.
Kama "kocha" muda mwingine, mbinu zikishafeli, ushapigwa tatu na dakika zimeenda, ni kuingizia striker mwingine na kubutua mipira mbele tu.
Ulichosema ni kweli kwa kuwa Yesu alitibuana na System akafa,Petro alitibuana na system akafa,Paulo akafungwa,Martin Luther Jnr alitubuana na system akafa.Ila historia inaonyesha wale walikufa kwa kujaribu kueleza ukweli na kuhubiri usawa na haki kwa watu wote.Ila kuna nchi zimeshapita hapa tulipo wako level nyingine kabisa.Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa.
Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na Wanafiki wale wale ambao wana Mihemko ya Kisiasa na Chuki ila naamini wenye Akili Kubwa watanielewa vyema kabisa.
Watu waliosoma vyema Strategic Studies watakumbuka hii Kanuni Kuu ya KUUSOMA KWANZA MCHEZO KABLA YA KUUCHEZA na unatakiwa kuwa very Smart Kupambana na Tawala nyingi za Kimafia barani Afrika vinginevyo utakuwa unakaribisha DHAHAMA yako mwenyewe na baadae kuja Kujuta.
View attachment 3354205
Well said 💯Shida iliyopo ni moja tu! Watu wakiamua kusema, kamwe hutaweza kuwanyamazisha wote! Unamfunga Lissu, Heche anaendelea kusema! Unamshambulia Kitima, Gwajima anajitokeza! Unamuua Ben Saanane, Mdude anaibuka! Unamuua Mdude, anatokea mwingine!!
Binafsi sikumbuki kama kuna mtawala katili aliwahi kunyamazisha midomo ya wakosoaji wake. Maana ukimuua mmoja, wanazaliwa wengine 100. Njia pekee ya kuondokana na haya makando kando ni kwa mtawala tu kukubali kusikiliza mawazo ya wananchi, badala ya kusikiliza mawazo potofu ya kundi baya la wahuni waliomzunguka.
Nadhani ana backup kubwa,ni staged event.Siamini kama gwaji amekurupuka kulifanya hili, hii nchi nyie ioneni tu hivi hivi kuna kitu behind.
Hizi porojo mnazitoa wapi?Ulichosema ni kweli kwa kuwa Yesu alitobuana na System akafa,Petro alitihuana na system akafa,Paulo akafungwa,Martin Luther Jnr alitubana na system akafa.Ila historia inaonyesha wale walikufa kwa kujaribu kueleza ukweli na kuhubiri usawa na haki kwa watu wote.Ila kuna nchi zimeshapita hapa tulipo wako level nyingine kabisa.
Ungekuwa na akili timamu usingekimbilia kutukana. Keyboard warrior uwe na siku njema.Kwenye michango mwingine unakuwaga na akili Mzee baba,ila likija swala la Samia mbona unakuwa kiazi hivi?
Hapo kwenye kushauri kuhusu viongozi wa ulinziwanaoteuliwa na kisha kutumbuliwa bila sababu za msingi ndiyo alipaswa apongezwe zaidi.
Tena aliongea na mifano ya kutosha kuwa inawezeka a hao wanaotumbuliwa ni wale wanaokataa maagizo ya kuuza nchi. Inaawezekana vipi ndani ya miaka mitatu Boss wa TISS wanatumbuliwa zaidi ya watatu? Kwa makosa Gani? Kwa kukataa kufuata maagizo Gani? Na tumeona hapa miaka ya karibuni uhuni mwingi umefanyika kama kuuza bandari,mbuga,kupiga wamasai, Kilimanjaro airport nk.
Wewe likija swala la samia unakuwa msenge msenge sana,shida nini?
Kwahiyo raisi anq uzuri Gani wa kungu auAlipozungumzia suala la watu kupotea, chadema wakamuungia wakamjaza upepo, fahamu zikamtoka, ndipo shida ilipoanzia, hata leo, ukasimama unasema Rais mbaya, chadema wote watakusapoti, yaani Hawa jamaa hawana akili kabisa.
Upo sahihi sana, huwezi kupambana na mfumo wazi wazi kiasi hicho maana wanafiki wanaweza kukutumia vibaya na baadae kukuacha peke yako na wabongo tulivyo wanafiki mwanzo utasifiwa sana ila baadae ni majuto .Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa.
Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na Wanafiki wale wale ambao wana Mihemko ya Kisiasa na Chuki ila naamini wenye Akili Kubwa watanielewa vyema kabisa.
Watu waliosoma vyema Strategic Studies watakumbuka hii Kanuni Kuu ya KUUSOMA KWANZA MCHEZO KABLA YA KUUCHEZA na unatakiwa kuwa very Smart Kupambana na Tawala nyingi za Kimafia barani Afrika vinginevyo utakuwa unakaribisha DHAHAMA yako mwenyewe na baadae kuja Kujuta.
View attachment 3354205
Kwani hujui kama *******(mashoga) Huwa wamekatika mshipa wa aibu?Ungekuwa na akili timamu usingekimbilia kutukana. Keyboard warrior uwe na siku njema.
Kwa hiyo CIA ilianzisha dokezo la kumaliza Apartheid?. Usidogoshe mchango wa kuondoa sera za ubaguzi wa Mandela, wana Afrika ya kusini na wengineo.Mandela hakufanya lolote.... CIA iliamua kumaliza utawala wa makaburu kutokana na uelekeo wa siasa za wakati huo na sio kwamba kulikuwa na shinikizo lolote la Mandela. Hata Mandela alikabidhiwa nchi kwa masharti mengi... someni historia vijana.
Mlibeza sana CHADEMA na kusema hawana akili kwa sababu ya no reforms no election,na hata watu wa makanisani/misikitini tulisema na kujiona tuko salama kwa sababu hatukutegemea kuingia kwenye maandamano.Sasa muda umefika wa watu wote(aliyekuwamo na asiyekuwamo) wataimba wimbo mmoja.Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa.
Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na Wanafiki wale wale ambao wana Mihemko ya Kisiasa na Chuki ila naamini wenye Akili Kubwa watanielewa vyema kabisa.
Watu waliosoma vyema Strategic Studies watakumbuka hii Kanuni Kuu ya KUUSOMA KWANZA MCHEZO KABLA YA KUUCHEZA na unatakiwa kuwa very Smart Kupambana na Tawala nyingi za Kimafia barani Afrika vinginevyo utakuwa unakaribisha DHAHAMA yako mwenyewe na baadae kuja Kujuta.
View attachment 3354205
Wana macho hawaoni wanabwabwaja kabla ya yale yaliyopita walianzaga hivi hivi.GENTAMYCINE kila jambo huwa lina mwisho wake. Mi ninvyoona hapa ni ule utendaji kazi wa Dkt Kikwete (rejea ile kauli yake labda mambo yaharibike sana), na pia ukicheki kiundani aki riep current ceo ina make sense laana ya kushindana na nguvu za Mungu parapanda italia na rais na makamu mwingine atakuja na kitakachofuata ni 🤬 kumsema vibaya kama old ceo kwenda mbele na kusafisha kisiwa chote rudisha kwao. Sasa sijui huu mtego nani kaingia mkenge, ndiyo maana it is too early kufikia conclusion my bosi wangu.
Sijadogosha mchango wa Mandela ila jua Mandela kuingia madarakani ni uamuzi wa CIA. Hata huu muungano wetu ulikuwa uamuzi wao. Kasome historiaKwa hiyo CIA ilianzisha dokezo la kumaliza Apartheid?. Usidogoshe mchango wa kuondoa sera za ubaguzi wa Mandela, wana Afrika ya kusini na wengineo.
Utafiti unaonyesha mnaopenda kutajataja neno ushoga ndo huwa ni mashoga waandamizi. Mwanaume rijali unakumbukaje mambo ya ushoga?Kwani hujui kama *******(mashoga) Huwa wamekatika mshipa wa aibu?
Kwa jinsi unavyotema mashudu una tofauti Gani na hao watu sasa?
Tema yenu sasa ina nguvu kubwa......imewazidi hadi wenye nchi yao. Kuleni maisha aisee kwa kazi nzuri. Hii dunia tunapita tu.Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa.
Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na Wanafiki wale wale ambao wana Mihemko ya Kisiasa na Chuki ila naamini wenye Akili Kubwa watanielewa vyema kabisa.
Watu waliosoma vyema Strategic Studies watakumbuka hii Kanuni Kuu ya KUUSOMA KWANZA MCHEZO KABLA YA KUUCHEZA na unatakiwa kuwa very Smart Kupambana na Tawala nyingi za Kimafia barani Afrika vinginevyo utakuwa unakaribisha DHAHAMA yako mwenyewe na baadae kuja Kujuta.
View attachment 3354205