Punguza uoga heshima sio uoga nizamu sio uoga,semakweri kua mkweri itakua huru #$haya maisha yaduniani Yana mwishoNakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa.
Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na Wanafiki wale wale ambao wana Mihemko ya Kisiasa na Chuki ila naamini wenye Akili Kubwa watanielewa vyema kabisa.
Watu waliosoma vyema Strategic Studies watakumbuka hii Kanuni Kuu ya KUUSOMA KWANZA MCHEZO KABLA YA KUUCHEZA na unatakiwa kuwa very Smart Kupambana na Tawala nyingi za Kimafia barani Afrika vinginevyo utakuwa unakaribisha DHAHAMA yako mwenyewe na baadae kuja Kujuta.
View attachment 3354205
Mkuu yaani Nimecheka mpaka basi....!!!!!!Wewe siwezi kubishana na wewe kwanza unatawaliwa na mke wako
Nashukuru kwa Kunielewa vyema Mkuu juu ya Andiko langu na Hoja zangu Kwake Askofu Gwajima.Uko sawa,
Alikuwa na pointi ila uwakilishaji wake haukuwa planned. Kwa sasa kwa binadamu mwenye utashi lazima anafadhaika.
Hii siyo vita ya kawaida, imepitiliza.
Umeandika vyema. Wanamjaza halafu wanamuacha peke yake.
Zakayo mfupi mwenzako ndio mna akili ya ku deal na system?Umeandika vyema. Wanamjaza halafu wanamuacha peke yake.
Hizi huwa ni Mentality za KIPÚMBAVU sana...... kwanini mnatetea watu wote tuwe MAKONDOO?
Kwahiyo busara kwako ni watu wote tukae kimya na kusifia ujinga unaoendelea?
Kila mtu anajua duniani kote vita dhidi ya watawala dhalimu haijawahi kuwa vita RAHISI hata siku mmoja
Hakuna utawala dhalimu utakao dumu milele duniani...... hata huu utaanguka tu na sababu ni hawa hawa unaotaka wakae kimya as if nothing happened.
Yes serikali inaweza kumuua Gwaji kama ilivyo muua Ben na wengine..... lakini serikali haiwezi kuua idea wanayotaka raia, ndio maana wamemuua Ben kaja Mdude na wataendelea kuibuka kila uchwao hadi takwa litakapo timia....... this is just a process tukiikwepa hii tutazalisha taifa la MAKONDOO daima
Kama mimi na wewe ni waoga acha wenye ujasiri wa kufanya hivyo bila kuogopa watakayo pitia wafanye hivyo..... ndio wito wao na ndio njia ya ukombozi
Technically hili ndilo alitakiwa alifanye na ndiyo hata Wenzake kote duniani wenye Akili Kubwa hufanya. Kakosea Hesabu.Ni vema gwajima aondoke nchini apambane akiwa mbali
Kwanza kabisa mimi siamini kwenye ujinga unaoitwa MUNGU wala dini yoyote ileLeo mnaona udhalimu, wakati Hakuna hapo aliyekamatwa, waislamu waliendewa misikitini na mabuti wakawakamata Masheikh wa uamsho na wakasekwa Ndani kwa miaka zaidi ya 9 na kubambikiwa kesi Za kigaidi, wengi wenu mlikuwa mnafurahia na kuwatukana humu jf , nyinyi mnaonjeshwa kidogo tu mnaanza kutoa povu hata sinema halijaanza bado
Mjadala ufungwe....Shida iliyopo ni moja tu! Watu wakiamua kusema, kamwe hutaweza kuwanyamazisha wote! Unamfunga Lissu, Heche anaendelea kusema! Unamshambulia Kitima, Gwajima anajitokeza! Unamuua Ben Saanane, Mdude anaibuka! Unamuua Mdude, anatokea mwingine!!
Binafsi sikumbuki kama kuna mtawala katili aliwahi kunyamazisha midomo ya wakosoaji wake. Maana ukimuua mmoja, wanazaliwa wengine 100. Njia pekee ya kuondokana na haya makando kando ni kwa mtawala tu kukubali kusikiliza mawazo ya wananchi, badala ya kusikiliza mawazo potofu ya kundi baya la wahuni waliomzunguka.
Kaburu sio mkoloni mweusi,mkoloni mweusi ni level nyingineNelson Mandela angekuwa muoga hivi mpaka sasa SA ingekuwa inatawaliwa
Kwani utekaji ulianza jana na juzi ??? , muda wote alikuwa wapi?? hatukumsikia kukemea; hata kuna wakati Marehemu Maalim aliwahi kwenda kukutana naye wala hakutamka chochote kukemea maovu ya serikali ya chama chake CCMKwanza kabisa mimi siamini kwenye ujinga unaoitwa MUNGU wala dini yoyote ile
Pili nimejibu hoja ya mleta hoja ambayo haina hata chembe ya UDINI....... Gwaji alisemea wanaotekwa na kupotezwa bila kujali dini zao
Pole yako unaosumbuliwa na hekaya za kusadikika za dini?
Kaburu sio mkoloni mweusi,mkoloni mweusi ni level nyingine
Wewe ulioandika huu ugoro na uhakika wewe ni mmoja wa hao wanao teka watu. Kwanza huna akili kabisa. Kwasababu unajuwa usalama wako uko chini ya hili kundi la wahuni wanaitwa serikali ya ccm na vyombo vyake. Kitu mhim unachosahau ni kuwa hakuna serikali yoyote dunia iliyoweza kwenda kinyume na wananchi wake ikasalimika. Ni suala tu la mda nyinyi watekaji na wanao watuma mwisho wenu hako mbali hata kidogo. Mimi nawaombea tu maisha malefu ili msife kabla hamjapata malipo yenu ya uovu wenu. Yes hata mimi si amini kuwa kuna Mungu. Kuto kuamini kuwa hakuna mungu hakumfanyi binadam amfanyie binadamu mwezake unyama kama mnao wafanyia watanzania. Wanyama wa polini hawajui Mungu lakini huwezi kukuta mnyama yoyote anakula watoto wake au wanyama wa aina yake. Sasa nyinyi wajinga na wapumbavu mnakuwaje mnaona kuuwa ndugu zenu ndio njia sahihi ya kuwapatia maisha mazuri? Kama kuuwa watu kunaisaidia serikali kuendelea kutawala makaburu wa south Africa mpaka leo wangekuwa wnatawala.Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa.
Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na Wanafiki wale wale ambao wana Mihemko ya Kisiasa na Chuki ila naamini wenye Akili Kubwa watanielewa vyema kabisa.
Watu waliosoma vyema Strategic Studies watakumbuka hii Kanuni Kuu ya KUUSOMA KWANZA MCHEZO KABLA YA KUUCHEZA na unatakiwa kuwa very Smart Kupambana na Tawala nyingi za Kimafia barani Afrika vinginevyo utakuwa unakaribisha DHAHAMA yako mwenyewe na baadae kuja Kujuta.
View attachment 3354205
Nakubaliana nawe. Approach iliyotumika haijakaa sawa.Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa.
Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na Wanafiki wale wale ambao wana Mihemko ya Kisiasa na Chuki ila naamini wenye Akili Kubwa watanielewa vyema kabisa.
Watu waliosoma vyema Strategic Studies watakumbuka hii Kanuni Kuu ya KUUSOMA KWANZA MCHEZO KABLA YA KUUCHEZA na unatakiwa kuwa very Smart Kupambana na Tawala nyingi za Kimafia barani Afrika vinginevyo utakuwa unakaribisha DHAHAMA yako mwenyewe na baadae kuja Kujuta.
View attachment 3354205
Wametuthibitishia kuwa serikali ndio mhusika. Hakuna maswali hapoPamoja na hayo ebu pia tujiulize hivi nchi hii kwasasa ni kosa la jinai kukemea utekaji?
Ni kosa kubwa lipi alilolifanya Gwajima linalostahili haya yote anayofanyiwa. Ina maana watawala wana haki ya kutuvuna/kutuua sisi raia kila tunapoonekana kuwakosoa.
Je tuamini kwamba serikali ndiyo inayoteka, kutesa na kuua raia wake? Mbona watu wanaojitokeza kukemea kwa nguvu uovu unaofanywa nchi hii waonekane wanazipinga mamlaka?
Kama taifa tunatakiwa tujitafakari sana. Tunakoelekea siko kabisa.