Unakosea, Unakosea na nasema tena Unakosea wenye Akili hawashindani na 'System' Kibwege (Kipumbavu) hivi..shauri yako!!

KAMA MCHEZO AMEUSOMA KABLA NA BAADA YA MAGUFULI KUMPENDEKEZA NA KUSEMA NIITE GWAJIMA...

HE'S SMART KWA WENGI AMBAO HAMJUI
AND HE SPOKE VERY CLEAR WITH CAUTION KIASA KWAMBA SWALI NI .KWANINI!!!!

RAISI ANASHINDWA KUTATUA HILI ATLEAST MAMA YAO AKANYE HAYA MAOVU YA UTEKAJI HATA KAMA NI KINAFKI ILA AKANYE KWENYE PRESS
 
Gwajima alimshambulia Rais hadharani kwa kusema asiwatumbue wateule wake wa vyombo vya ulinzi hadi bunge liamue. Angeongelea tu utekaji na kuzitaka mamlaka zishughulikie isingeleta shida. Tatizo ni mashambulizi yake kwa Rais
Mamlaka zipi? Hizo alizozisema kuwa wanatumbuliwa wasipotii maelekezo? Ulielewa kweli alichosema Askofu?
Kwa kifupi watekaji na wauwaji wanatumwa na mamlaka na hili kimethibitishwa na wanavyojibu
 
Unaweza kutueleza chanzo chao Cha kukamatwa walikuwa wakipinga uovu gani?
 
Una jicho Kali sana
 
Humu watu mtabishana na mtatukanana...
Lakini ukweli ni kwamba Gwaji mwendo ameumaliza...
Hivi mmesahau Kakobe alivyoibuka na mambo ya misa za muungano kanisani, aliishia wapi ?
 
Nchi hii ina upekee flani hivi ambao bila jicho la tatu ni vigumu kujua. Unaweza kudhani watu wamelala kumbe🤣🤣🤣
 
Mandela hakufanya lolote.... CIA iliamua kumaliza utawala wa makaburu kutokana na uelekeo wa siasa za wakati huo na sio kwamba kulikuwa na shinikizo lolote la Mandela. Hata Mandela alikabidhiwa nchi kwa masharti mengi... someni historia vijana.
Kwa hiyo alivyofungwa gerezani kifungo cha maisha mwaka 1962 alifanya makosa gani? Eti hakufanya lolote!!! Seriously???!!! Wewe ndiye unatakiwa usome historia ya Mandela na South Africa.
 
Siamini kama gwaji amekurupuka kulifanya hili, hii nchi nyie ioneni tu hivi hivi kuna kitu behind.
Hata Mimi nahisi lazima kuna kitu lazima. Mungu alifanya vizuri kulimit upeo wetu wa kuona ili mengine yawe siri na kama kuibuka yaibuke by suprise
 
Unadhani ana nini? Hana chochote kuna wahuni labda walimtanguliza kusema tuko nyuma yako. Ukweli ni kwamba alicho kiandika popoma kina ukweli.
sidhani gwajiboy alirusha ngumi akitegemea busu kwa mtu mwenye akitoka mungu anafata yeye kwa mamlaka/kuogopwa/kuheshimiwa.
 
Mungu atampigania mtumishi wake na haya yote ni maandalizi ya kumtoa kuelekea mahali pake pa juu.Njia za Mungu hazichunguziki tutashangaa wote
 
Funga kanisa. Chukua Ubunge. Chukua kadi ya chama. Aende anakotaka kwenda. Kiburi. Dharau. Mdini. Mtovu wa nidhamu. Mbaguzi. Anajificha kwenye “dini na haki” pale anapoona inamfaa yeye. Mnafiki! Tapeli mkubwa mcheza picha za ngono

Hakuna kanisa la ufufuo na uzima!! Ni utapeli mtupu wacha leo utapeli huo umakizike. Angekuwa anafufua angemfufua Magufuli aliyempa kura za Halima Mdee na kumleta Bungeni. Kwanza wananchi wa Kawe ametutapeli sana. AFUNGIWE tu TAPELI mkubwa
 
🫡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…