Nitakuambia siku nyingineInasaidia kutibu nini?
Nimekaa sebleni kwa shemeji hapa mume wa dada, nimefunga taulo nipo kifua wazi, naona shemeji katoka kazini wapo chumbani na dada wamefungua mziki kwa nguvu sijui kwanini.....
Hii kitu na hiyo rangi yake huwa siiamini sana , 🤔
Nimeweka playlist ya R&B huku nyimbo za Aaliyah zikiwa nyingi zaidi..
Hapana kwakuwa anything too much is harmful.. Hivyo kila kitu kina kipimo chakeKuna wananzengo wanasema, kuzidisha hivi vinywaji kwenye mwili, mwili unazeeka haraka sana; kuna ukweli wowote?
Ninayo tajiriKatika ngoma hizo za Aaliyah usiache kusikiliza "Back and fourth".... kila la kheri tajiri. 😁
Really
Ninayo tajiri
nakula nonstop rhumba kali sana za kikongo hapa, na kwasasa 100kilos ya ferre gola inahusika halafu nilipo kuna kipupwe cha hatari nikielekea home nikiwa naperuzi jukwaa mbalimbali za JF, sijiskii kula chochoteNimetoka zangu kwenye mihangaiko ya hapa na pale, nikaingia bandani nikachukua mayai mawili kutoka kwa kuku wangu wa kienyeji, nikayachemsha na kuyafanya kitafunwa na chai yangu ya kahawa, huku hawa kuku zangu wakinitazama ninavyokula uzao wao.Hapo ulipo, unakula nini/unakunywa nini huku ukiwa unabarizi hapa jf? Au unabarizi huku mdomo ukiwa mkavu? View attachment 3591249
Baada ya nusu saa, nikaingia shambani na kuvunja mahindi sita, nikayachemsha, na sasa nayatafuna huku nikisoma jumbe zenu hapa JF.
Hii ndio fahari ya kuishi kijijini/ nje ya mji, unakula kitu kisichokuwa na kemikali, hewa safi; natamani na nyie wananzengo mje huku.
MKuu mbona kama unajichanganya? Unajua kwamba maziwa zaidi ya 85% ni maji? Yaani kwenye 1000mil kuna 870mil za maji.Kunywa maji mengi si salama, ingia zizini ukamue maziwa ya ng'ombe angalau lita uchemshe unywe.
View attachment 3591309
🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Utazeeka mapemaNakula mbususu
Njoo tuwinde sungura pori hukuNakula kucha😚
Unazidisha ukunwa wa tusi si ndio🤣Kweli bwana! Kama wewe ni tajiri Seran. Bosi kubwa..
Nina miaka zaidi ya 15 tangu nile nyama ya sungura😓Njoo tuwinde sungura pori huku