Bucha za nyama pori huko hazipo?Nina miaka zaidi ya 15 tangu nile nyama ya sungura😓
Njoo uishi na mimi huku kijijini, ule mema ya shambaniNikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe!
Juzi nimepewa mahindi mabichi nikayatia kwenye multcooker yakachemka ila hayakuwa na Radha hata kidogo!
Hawashindwi kutulisha nyau hawa bora uchinje mwenyewe!Bucha za nyama pori huko hazipo?
Mjini pagumu sana siku ikipita na ukiamka salama unamshukuru Mungu.Pole mkuu, harakati za mjini hazina huruma, njoo kijijini ujiokotee mayai ya kanga
Raha ya kijijini uwe na hela ya kutosha!Njoo uishi na mimi huku kijijini, ule mema ya shambani
Maji ya moto + Kahawa + sukari kidogo = Chai ya kahawaChai ya kahawa ndo ipoje?
Kuishi nje ya mji kuna faida kubwa ya kiafyaMjini pagumu sana siku ikipita na ukiamka salama unamshukuru Mungu.
Ngoja siku tufuate ushauri wa kuhama hili jiji .
Jitahidi uje huku bushi tuwinde ata tumbiliHawashindwi kutulisha nyau hawa bora uchinje mwenyewe!
Mara ya mwisho kula mahindi ya kuchemsha mwenyewe ilikuwa lini?
Huku hakuna haja ya hela, ni nguvu zako tuRaha ya kijijini uwe na hela ya kutosha!
Leo nimekula...Mara ya mwisho kula mahindi ya kuchemsha mwenyewe ilikuwa lini?
Tumbili analiwa? MtakulaJitahidi uje huku bushi tuwinde ata tumbili
Mimi nguvu Sina,lakini napenda kuishi kijijini Sasa itakuwaje?Huku hakuna haja ya hela, ni nguvu zako tu
Wahadzabe wanakulaTumbili analiwa? Mtakula
Na sumu jamani😬
Nguvu umepeleka wapi?Mimi nguvu Sina,lakini napenda kuishi kijijini Sasa itakuwaje?
Sio kila kitu utaiga! Wale wanakula utumbo na maini mabichi, wewe kajaribu tukulaze peponi😃Wahadzabe wanakula