Unakula nini/unakunywa nini huku ukiwa unabarizi hapa JF?

nakula nonstop rhumba kali sana za kikongo hapa, na kwasasa 100kilos ya ferre gola inahusika halafu nilipo kuna kipupwe cha hatari nikielekea home nikiwa naperuzi jukwaa mbalimbali za JF, sijiskii kula chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…