Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

Tujuane wadau, labda nilipokaa hapa kuna member wa jf nae ana-browse ila hatujuani.

Nimerudi Dar jioni hii ila nimetulia hapa Micassa Pub Ubungo

Uko wapi mdau?

Mshana Jr
LIKUD
The Boss
Extrovert
cocastic
Nifah
dronedrake
The only

Na wengine wengi
[emoji173][emoji173][emoji173] nitatuma picha zaidi
20231226_085549.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom