Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Aiseee
 
Sisi kwetu ni Africa na hapa ndio kwetu. Mtaishi kwa taratibu zetu za kiuongozi sio kuleta itikadi za ajabu ajabu.

Mwanamke kiasili ameumbwa kutawaliwa. Njia ni tofauti ila mwisho wa siku kila mtu ana jinsi ya kum manage wa kwake.

Njia zangu zinaweza kuwa tofauti ila haimaanishi sio sahihi! If they work for me then kwangu ni OG! Kama ambaye anaona ni sahihi kwake kupangiana zame za kudeki na mkewe basi nayo OG. Kwangu mie kuna distinctions kati ya mke na mume.
 
Sawa hilo halina shida kama jamii haiwezi kuwa hivyo! Ila mbona na ninyi mnataka kulazimisha jamii ambayo mwanamke naye atakuwa anatoa pesa pasu kwa pasu sawa na mwanaume kwa kisingizio cha kwamba hayo ndiyo mapenzi wakati siyo tamaduni zetu?
Hata kufanya kazi kujitafutia kipato binafsi kwa mwanamke sio tamaduni zetu. Tamaduni zetu Ni zile za mwanamke golikipa. Nkikuruhusu ufanye kazi basi lazima hela yako nitie mkono wangu pia.
 
Hivi unafikiri ni rahisi kumnyima hela mwanamke unayempenda?
 
Inakuwaje lazima wakati siyo tamaduni za kiafrika? Si mnasema tunatakiwa tufuate tamaduni zetu za kiafrika au?
Kama ndivyo, mwanamke hatakiwi kufanya kazi. Akae nyumbani alee familia. Kwanini mnataka upande mmoja tu ndio unufaikie/kuumia na hiz 50/50 zenu? Yaani maana ya 50 50 inakuwaje sasa iwapo changu chako na chako chako?
 
Sasa hizo distinctions mbona mnaziweka kwenye majukumu mengine? Mbona kwenye pesa hamziweki?
 
Chief nunua mashine ya kufulia nguo kurahisisha kazi nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…