Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Dah, hii mwanetu ni noma. Jamaa alikuwa kashaoa lakini au ndio dating for marriage?
Kuchukuliwa marafiki zao ipo sana. Unajua sie kuna wanawake wanatutamanigi sana sema access hawana ila ikitokea coincidence wanapenyeaga hapo na kuonekana ma snitch kwa wake zetu. Mwanamke anaona care anazopewa mwenzie ila hana shukurani huwa inawauma sana.
 
Bado ndo Niko kwenye decline nikisha mapiza ntakuja.
 
"I want someone special".. Feken sana..

vidada vya hivo huwa vinamaisha ya ajabu ajabu sana[emoji1787].kuna kingine kilinambia “nataka kuwa na mtu ambaye yupo serious anaelewa anafanya nini,mimi saivi utoto utoto sitaki nataka tutulie tupange maisha” nikasema powa nitajirekebisha,haikuchukua muda kikarudiana na bwana wake wa zamani afu kikaanza na kunipiga vizinga ikabidi nikiache
 
Kidemu kinakwambia kinataka mtu aliye serious wakati chenyewe hata shughuli ya kufanya hakina 😂😂😂
 
ila mnajua kulalamika jamani, khaaa, sasa mkitukera tusiwaaambie???????? ukiona mpaka mwanamke anakutamkia hayo aliyoorodhesha mleta uzi, ujue amefikia kikomo cha uvumilivu, mana usiombe ukutane na mwanaume ambae hajitambui wala hajui anataka nini kwenye hayo mahusiano, utajutraaaaaaaaaaa
 
Hapa amekukera na nini?

"Kama mimi unanipa hichi ki-laki mbili na nusu chako, sasa hao wanawake zako wengine si utawapa zaidi"

#YNWA
 
Sema wewe mama! Naona tu wanavyokaa wanaambizana uongo wanaoujua utafikiri wanatujua kuliko sisi tunavyojijua wenyewe!

Afadhali hakuna wanawake waliocomment kujitetea na hizi tuhuma maana tumeshaizoea hiyo jinsia kwa kutupia lawama jinsia yetu tu hawajambo! Waache waendelee kulalamika humu halafu tuone watafikia suluhisho lipi!
 
Hapa amekukera na nini?

"Kama mimi unanipa hichi ki-laki mbili na nusu chako, sasa hao wanawake zako wengine si utawapa zaidi"

#YNWA
ndo mana nikasema ukitamkiwa aliyoorodhesha mleta mada, hayo mengine ni ngumu kujaji mana sijui makubaliano yenu
 
"Mimi siamini kauli ya mwana umme yoyote eti hana pesa isipo kua Baba angu tu ndo nae mwaamini" anapekua walleti yangu kila wakati, nikaona anifae kabisa nikatafuta mbinu za kumpiga chini, baada ya kuchanachana cheti chake cha ndoa ilikumpunguza usumbufu wa talaka
 
"Mimi siamini kauli ya mwana umme yoyote eti hana pesa isipo kua Baba angu tu" anapekua walleti yangu kila wakati, nikaona anifae kabisa nikatafuta mbinu za kumpiga chini, baada ya kuchanachana cheti chake cha ndoa ilikumpunguza usumbufu wa talaka
Hahahaha duh hii ni noma...yani demu wako ana kufanyia robbery ya pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…