Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Kidemu kinakwambia kinataka mtu aliye serious wakati chenyewe hata shughuli ya kufanya hakina [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23]si ndio hapo mkuu,ila ukishavijua unaweza ukajikuta wakati kinaongea ukacheka sana
 
Hahaaa ni mtumishi mkuu na hajapata uhamisho mkuu mi nko Dar
huyo mzazi mwezio atakua ni police, maana ndo tabia zao, na police wanagongeka sana na police wenzao, nimekaa nao sana, na ninawajua vizuri na nimewala sana, tena wakiwa wameolewa, hawanaga aibu kushea bwana.
 
Kuna watu bila kulalamika siku haiendi vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Kama Mimi nakupa stress,unasubir nini kuokota makopo?"

Huyu manzi nlimpenda mnoo,akawa ananichukulia easy mnoo.unaweza kuomba kuonana naye wiki nzima hatokubali..ila yeye akiomba kuniona muda wowote namruhusu aje..

Sijui alinionaje aisee,yaan nilikuwa sichomoki kwake.

Hata night,ananiambia naomba uje na usafr,unipeleke mahali fulani..mzee naenda..ila kimbembe ukimuhitaj yeyee.

Nlikuwa mtumwa kwa yule manzi aisee,thax God.Hakuamin nilivyo jitoa,
 
Aiseee, ulichukua hatua gani!
Ilikua kwenye simu halafu niko chimbo sina hela nikaamua nimkope jamaa yangu amtumie,baada ya hapo nilikata mawasiliano,nika block namba zote maisha yanaendelea. Kuna kutoa kwa aina mbili kwa wanawake, kuna mwanaume anatoa kwa sababu anazo lakini pia kuna mwingine hata kama hana atakopa ili mtu wake atatue shida zake. Sisi wa hili kundi la pili huwa haui appreciated kabisa.
 
Sasa Kama mtu humuamini unakuwa naye wa nini c umuache huwa inanitoaga kwenye mood na namuacha kweli
 
Mkuu ni Mwalimu
huyo mzazi mwezio atakua ni police, maana ndo tabia zao, na police wanagongeka sana na police wenzao, nimekaa nao sana, na ninawajua vizuri na nimewala sana, tena wakiwa wameolewa, hawanaga aibu kushea bwana.
 
Kuna watu bila kulalamika siku haiendi vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani pale tu Mungu alipomuuliza Adam kwanini umekula tunda na Adam akajibu, "NI HUYU MWANAMKE ULIYENIPA NDIYE ALIYENISHAWISHI" (wakati alikuwa na uwezo wa kulikataa lile tunda) hapo ndipo matatizo yalipoanzia.

Ikawa kuanzia hapo kila baya linalotokea hapa duniani hususani kwenye mahusiano ya kimapenzi au ndoa kina Adam lazima waseme wanawake ndiyo chanzo, hata kama kuna vingine chanzo ni wao wenyewe hilo hawakubali wao siku zote huwa wanajiona wako innocent na wataendelea kutuona wanawake ndiyo wabaya hadi mwisho wa dahari kwa sababu ilianzia kwa Adam.
 
Mkuu duniani hakuna mkamilifu
Makwazo ni yakawaida tuu kuna mengi nilivumilia mpaka la kumpeleka mama yangu police while she was sick
Nashukuru muumba nipo napambana na life as usual bila uwepo wake
Japokuwa alinisusia binti yetu akiwa na 3yrs back then ni miaka kumi sasa imepita

Ila hii lugha imenifanya mahusiano yangu yoyote nikiona kokoro kokoro unaanza huwa najiengua mapema
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Duh..hiyo hatarii
 
" Aisse, mama pendo na mme wake ndio wanakula laifu, sisi wengine ni wasindikizaji tu " Hilo nilirushiwa na bidada kipindi ndio Kwanza tuna anza anza maisha...!!! sikumsemesha kwa pale, ila siku ya pili katoka kwenye mishe zake akakuta kitasa kipya, aliponipigia simu nikamwambia atizame kwenye simu nimemtumia hela ya nauli ya kwao, na mabegi nimeshayatanguliza na basi. Kisha nikabadilisha laini na kuhama mtaa kwa miezi minne. Nilipomrudisha na kumueleza kosa lake, alibaki anashangaa tu, ila ninaishi nae mpaka sasa, watoto 3, nikikohoa tu, anaruka, Na akitaka kuongea anaomba ruhusa, Kisha anaongea taratibu kwa kuchagua maneno...[emoji41][emoji41][emoji41] !!!!
 
duu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…