Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Wastaarabu tunaitwaga mazoba, just because we ain't dramatic and act sane all the time. Watoto wa kike like some crazy shit to be done on them at times! Mtu mstaarabu hawezi fanya mambo ya kuudhi while anajua yeye hapendi kufanyiwa but guess what? It works differently to these girls. Atalalamika yuko abused he wants a man with sanity akipata baada ya muda ataanza kusema the guy is boring anatamani apate chizi tena😂😂😂
This is very true, Nina rafiki yangu huwa ananiambia yeye hawezi mapenzi yasiyo na amsha amsha, nilikuwa namuelezea sisi huwa hatugombani ovyo, most of the time issues zetu huwa tuna solve kwa mazungumzo, akashangaa 'Hee' sasa hapo mna enjoy nini? Mapenzi ni vurugu, mgombane hasa, mapenzi yasiyo na amsha amsha Mimi siyawezi, Mimi natafutaga ugomvi, nikiona pamepoa naboreka' nilicheka sana.! 😂
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Utajua hujui mimba ikiingia kwa mtoto wa form 3! Hapo ndipo utajua jamhuri ina macho
hahahaa akiwa dent huwezi kumpa uhuru wakujiachia hivyo na hata kuongozana nae hudhubutu kabisa, ila kina mwafulani wakitaa fresh tu
 
Dah unaoataje nafasi ya kurevenge halafu unaitumia vibaya hivyo.....

Huyo unamkubalia anarudi kuwa na wewe, then siku moja unatafuta demu pisi kali mdangaji unamuomba aje maskani saa sita za usiku. Mpange kabisa kuwa upo na mwanamke unataka kumpa shida kidogo.

Avae kikorofi ile ya kutamanisha utamu nje. Then wewe siku hiyo mtengenezee mazingira demu wako mlale mapema sana saa tatu au nne hivi.

Akifika unamfungulia, then unampokea na deep sloppy kiss moja ambalo halikatishwi hata na mlipuko wa bomu. Unafunga mlango wa chumbani ufunguo unatoa katika kitasa. Unapanda na yule demu kitandani mnaaza kupeana kazi nzito wazi wazi bila kuogopa.

Yaani yeye muwe kama hamumuoni. Unapiga mashine ile kiugwadu na huyo demu aonyeshe ushirikiano..... Demu wako akitaka kuleta fujo unamtuliza then unaendelea kutoa mgegedo..... Unamwambia hebu tulia wakati najiongeza na huyu anae nipenda..... Tulia mbwa wewe nakwambia....
What's your zodiac sign brother?
 
Back
Top Bottom