Unakumbuka nini kuanzia Mwaka 1998 hadi 2000?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mi mshangazi kweli shauri yako.!!
Wifi unaye mshangazi nangai
Kwanza ebu njoo apaπŸ˜‚πŸ˜‚,,nani kakwambia mi wifi ako!!!,hujui unaweza kua unanifukuzia ndege zangu weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakumbuka enzi hizo daftari za mistari mikubwa na midogo kwa ajili ya kujifunza mwandiko kwa wanafunzi zilikuwa zinapatikana maduka ya Tanzania Elimu Supplies tu.

Nakumbuka pia tulikuwa tunapewa madaftari bure shuleni kila mwaka shule ikifunguliwa na likiisha unakwenda kumuonyesha mwalimu anakupa jingine jipya.

Nakumbuka enzi hizo kulikuwa na mashirika ya uchukuzi kila mkoa Mwanza ilikuwa KAUMA, Kagera ilikuwa KAGERA RETCO, Iringa ilikuwa IRINGA RETCO, Dodoma ilikuwa KAUDO, wadau mtaongezea.. Morogoro, Rukwa na kule kaskazini yalikuwa yanaitwaje..

NB: HII NI MIAKA YA 80's
 
Mwaka 98 nilikuwa Nina miaka 12 na 13. Nilikuwa darasa la saba
 
kwanza ebu njoo apaπŸ˜‚πŸ˜‚,,nani kakwambia mi wifi ako!!!,hujui unaweza kua unanifukuzia ndege zangu weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wifi acha ujuaji!! Kwa ndege gani wa kupotezewa humu??
Niulize mimi nikupe details za kichaka cha JF shauri yako utatapeliwa ohhh 🀣🀣🀣
 
Wifi acha ujuaji!! Kwa ndege gani wa kupotezewa humu??
Niulize mimi nikupe details za kichaka cha JF shauri yako utatapeliwa ohhh 🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sema umeongea point,, enhee nipe nipe basi jamani
 
Wifi acha ujuaji!! Kwa ndege gani wa kupotezewa humu??
Niulize mimi nikupe details za kichaka cha JF shauri yako utatapeliwa ohhh 🀣🀣🀣
Nikiona dada yupo kwenye kamati ya harusi najua msos uhakika 🦾🦾namna gani paleeeeeee
 

Dar es salaam kulikuwa na UDA mkuu!
 
Miaka hiyo nilikuwa tajiri wa wanafunzi shuleni kwetu babu yangu alikuwa ananipa shilingi mia nakusanya marafiki zangu wote tunakula bata shuleni vibabu mandazi kashata nk mia chenji Inabaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…