watu wa Astra projection wanajua hii kitu. Nawaza ingekuwaje ndugu wangedhani umekufa wakataka kukuzika...Mmmh.. .
Nilikaa I.c.u..mda sana tu..
Lakini ajabu..nilikuwa pembeni ya mwili wangu ulipolala...natoka na kuingia wodini...naona ndugu na madoctor...tatizo nilikuwa siwezi kushika mtu au kitu wala kuongea na nikitembea nilikuwa sikanyagi ardhi!
Nikajiuliza sana sana...kwa nini iwe hivi? jibu sikupata!
Kwa ufupi...nilirudi .. katika hali ya kushangaza mno.
Lakini ndugu zangu ... huu ulimwengu
una mapana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh aisee hawakukushambulia kwa matusi au makofi labda, maana hapo lazima raia walionyesha hasira kaliNikiwa dalasa la sita siku hiyo niliamua kujisomea usiku, so nilikuwa nasoma kwa kutumia kibatari, nilikuwa nasoma huku nimelala kitandani na kibatari kiko pembeni kidogo juu ya meza, nilipitiwa na usingizi kumbe mto wa sufi niliokuwa nimejiegemeza uliangukia kibatari ukaanza kuwaka na nilikuwa nimelala na babu yangu ambaye alikuwa haoni vzr na kutembea kwa tabu sababu ya uzee pia kilichosaidia huyu babu yangu tulilala vitanda tofauti!
Aise mto wote uliungua babu akaita sana sikusikia sababu ya usingizi mzito makelele ya babu ndio yaliyowaamusha watu wakaja kuvunja mlango godoro la Sufi limeanza kushika moto na chumba kimejaa moshi, aise sielewi ule usingizi ulitoka wapi maana pamoja na makelele ya babu sikusikia, watu waliita sana kwa nje sikusikia hata walivyovunja mlango sikushtuka wakanibeba kunitupa nje ndio nashtuka,
Mpk Leo naamini ni Mungu alitusaidia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwaje rada za Kwediboma hazikuona chombo chenu?Chombo kilipata misukosuko anga la kwamsisi ila s tukafanikiwa kutua salama mapango ya Amboni
Jr[emoji769]
Ndugu, hapo Mungu hausiki kabisa na kupona kwako. Sema tu labda bahati tu.Siku ambayo nilikoswakoswa kufumaniwa
Mungu yupo kwakweli
Haaaaa.....kwahiyo hapo ni shetani?Ndugu, hapo Mungu hausiki kabisa na kupona kwako. Sema tu labda bahati tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani mshana ww mhhhh kwa msisi singida amaChombo kilipata misukosuko anga la kwamsisi ila s tukafanikiwa kutua salama mapango ya Amboni
Jr[emoji769]
Jibu unalo mwenyewe!Haaaaa.....kwahiyo hapo ni shetani?
Tena ndio uwe kama umelala yomboDah mungu yupo man
Siku moja tulikua site
Tunafanya maintenance kubadiri nguzo ya HT...kuangalia belt(kwa wasioijua Ni ule mkanda wakujifunga kiunoni unakushikiza na nguzo unavyokua juu) kuchek belt yangu imefunguka Ile lock yake
Dah afu nipo kama meter 12 juu
kelphin kepph
Duh aisee hawakukushambulia kwa matusi au makofi labda, maana hapo lazima raia walionyesha hasira kali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa nimejilaza kitandani kwa kupumzika tu,miguu iko chini, yaani nilikaa kitandani halafu nikaamua kujilaza. Nilikaa kwa upande ambao mtu akiwa amelala kawaida huweka au kuelekeza miguu yake, baadae nikajilaza.
Baada ya dakika kadhaa nilimuona nyoka akinitazama, akiwa amesimama upande wa kushoto wa kitanda, tukawa tunatazamana yeye akiwa chini sakafuni. Tulitazamana hatimae nyoka akaamua kushusha kichwa chake na kugeuka na kuondoka zake.
Niliishiwa nguvu, sikuamini kabisa nilichokiona.yaani kitendo cha kuinuka nusu mzima nyoka ndio kilinishangaza, hapo ndipo nilipojua kuwa kumbe nyoka anaweza kupanda kitandani kirahisi tu.
Naamini ni Mungu tu ndio alikuwa mwamuzi wangu siku hiyo.
Unaamini katika Mungu? Wewe ulinusurika vipi, uliokoka vipi? Ulipona vipi? Tuwekee tukio lako tafadhali.
@WAKUG-OOGLE
Nilikuwa naendesha gari,ghafla nikaona mdudu anatembea kwenye kidole changu,nikawa nafungua dirisha ili nimrushe kwa nje,ile niko katika harakati za kunyanyua mkono nimrushe,mwenzangu akaniambia kuna gari tunaligonga,lilikuwa linakuja opposite direction,wakati naangalia mbele ni kweli nimehama njia ila liko mbali kidogo na ile gari,na dereva wa lile gari alikuwa tayari ameshasogea pembeni kwani alishaona nimeyumba,niko katika harakati za kurudisha gari upande wangu yule mwenzangu akawa amenivuta mkono nilioshika sterling,kwakweli kilichotokea pale ni kwa neema ya Mungu tu tuko hai mpaka leo,gari iliyumba kama mara tatu huku tairi za upande mmoja zikiwa tayari juu,nikatumia ufundi wangu wote mpaka gari ikatulia,thanks God am still alive...
aisee,ila cha ajabu hadi hapo sijaona sehem uliyosema umeacha pombe,hahahhaaaaaMwezi wa 10 mwaka jana nipo home alone, nina stress kali, nimenunua chupa ya konyagi na sigara. Namaliza konyagi nawasha sigara. Navuta nikiwa nimejilaza kitandan. Napitiwa na usingizi. Naamka usiku sana nakuta shuka na neti vimeungua sehem kubwa kidogo. Najiuliza mpaka leo, ni nani alizima ule moto? Hakika nilistaajabu uwepo wa Mungu. Kwa kweli [emoji120][emoji24][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio nyie niliwakamata pale mkaramo mkitaka kupita kwenye anga la sange ?Chombo kilipata misukosuko anga la kwamsisi ila s tukafanikiwa kutua salama mapango ya Amboni
Jr[emoji769]
Mmmh.. .
Nilikaa I.c.u..mda sana tu..
Lakini ajabu..nilikuwa pembeni ya mwili wangu ulipolala...natoka na kuingia wodini...naona ndugu na madoctor...tatizo nilikuwa siwezi kushika mtu au kitu wala kuongea na nikitembea nilikuwa sikanyagi ardhi!
Nikajiuliza sana sana...kwa nini iwe hivi? jibu sikupata!
Kwa ufupi...nilirudi .. katika hali ya kushangaza mno.
Lakini ndugu zangu ... huu ulimwengu
una mapana!
Sent using Jamii Forums mobile app