Nilikuwa mdogo sana kitu kama darasa la tatu hv kulikuwa na arobaini nyumbani so kama mnavyojua masuala ya jikoni ndo yanakuwaga kiungo muhimu ili shuhuli iweze kwenda
basi siku hiyo toka kumekucha mimi ni kuingia na kutoka jikoni tu sichezi mbali.. mama zangu wakaona nawasumbua ili niondoke wakanambia "hebu mkamate huyo jogoo tukuchinjie ule na pilau"
kuskia hivyo baharia ndo akili zikaniruka kabisa nikaanza kukimbizana na jogoo hadi nje.. kufika nje nikakutana na bro mmoja naye anakuja kunyapia mpunga hom kaniuliza Young gun vp mbona unakimbizana na jogoo vp?
nikamuelekeza naye akaliunga tukaanza kumkimbiza wote.. kufika sehemu bwana yule jogoo akaruka ukuta wa nyumba ya watu kachoma ndani sasa mimi mfupi ikabidi yule bro apande.. akaniambia wewe sikilizia hapo hapo akiruka tu mkamate
Sasa ule ukuta ulikuwa umejengwa kwa matofari ya kuchoma na udongo tu bila cement(si unakua kijijini tena) aisee ile jamaa kupanda tu ukuta wote pamoja na jamaa mwenyewe vikanishumia mimi funika kabisa sionekani
wapita njia ndo kupiga kelele mimi huko chini sielewi naona maluwe luwe tu shuhuli yote nyumbani ikahama na kuhamia eneo la tukio kuja kunitoa sijitambui nikakimbizwa zahanati ya kijiji hata pilau lenyewe nikalikosa
ila nilipona zaidi ya kupata ngeu kibao sikupata serious injuries.. usipime uzito wa ukuta we skiaga tu watu wamefunikwa na ukuta wamefariki sio mchezo