vulturine vulture
Senior Member
- Sep 5, 2019
- 154
- 99
Kheri yako wewe ...Me nataka kujua hayo mengi katika ulimwengu huu,nijuze
Kwamba..nielezee kwa ufasaha khasa ilikuwaje?
lee van cliff, Sasa mpka nyoka aingie chumbani kwani unakaa porini? Halafu haujamalizia baada ya hapo nyoka alienda wapi? Hii ni chai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh.. .
Nilikaa I.c.u..mda sana tu..
Lakini ajabu..nilikuwa pembeni ya mwili wangu ulipolala...natoka na kuingia wodini...naona ndugu na madoctor...tatizo nilikuwa siwezi kushika mtu au kitu wala kuongea na nikitembea nilikuwa sikanyagi ardhi!
Nikajiuliza sana sana...kwa nini iwe hivi? jibu sikupata!
Kwa ufupi...nilirudi .. katika hali ya kushangaza mno.
Lakini ndugu zangu ... huu ulimwengu
una mapana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa kingine...nilipokuwa mdogo miaka minne na miezi kazaa, nilikua nakwea mizambarau na rafiki zangu hadi wazazi na majirani wanalalamika kuwa hawa watoto wataleta balaa..
Siku moja nikakwea hadi kilele nikawa naona mitaa yote nafurahia kuona quarters zilivyojipanga, kidogo rafiki moja si akashika kitawi nilichokikanyaga..ghafla naona nazunguka hewani mara moja,mbili tatu puu! nikanasa kwenye tawi lilokaa kama Y mita chache karibia na ardhi. nakahisi mbavu kama zimevunjika, nataka kulia nataka kutoka siwezi, miguu imening'inia hewani, kichwa na mikono.
Mara nasikia sauti..mdogo wangu katumwa na Baba karudi kutoka kazini, aniita..isee nikajivuta kwa nguvu mpaka nikatoka..nasikitika kwa akili za kitoto sikusema mpaka wiki imepita nakawa napata maumivu wakati wa baridi ndio nikasema..nashukuru tulikuwa tunaogeshwa maji ya vuguvugu jioni na ma sista zetu (Hahahah) huenda yalisaidia kidogo damu isigande maeneo ya mbavuni..naamini uzeeni nitapata tabu ya maumivu wakati wa baridi nashukuru sikufa maana Baba yangu angepata shida sana maana alikuwa ananipenda hadi kila mtu anaona kama ananipendelea.
mara ya pili nikiwa na miaka 8 nilianguka kwenye mzambarau juu hadi chini nikafika nimechuchumaa isee Mungu yupo! maana nilianza kudondoka kwa kutanguliza kichwa na mkono wa kushoto alafu nikazunguka kama mara mbili nikasikia puu! miguu na kiuno vyote ganzi alafu maumivu yakaja...Wazazi kuweni makini na watoto na miti ya matunda.
Nilipiga demu muathirika tena kavu tena mixer kuingia uvinza, kuja kupima nipo negative. Hapo nilijikuta nauona mkono wake bwanaaa, haleluyaaa!
raha ya jaamii forums, asante sanaHiki tokea dharula Na #uka Lazimika kutembea usiku hasa mitaa yenye vibaka zingatia yafuatayo:
Beba siraha yyte ndogo kama kisu screw driver zile ndefu (bisi bisi) kwa ajili ya kuwa weka sawa vibaka pale maji ya kizidi unga
Hata kama sio mvutaji wa sigara nunua sigara yako moja sports , embassy , au hata nyota SM za wachumba achana nazo
Wakat unatembea na kukaribia eneo lao washa kisha vuta huku #una katiza eneo hilo na tembea kwa kujiamini % zote bila woga
Waarabu wa pemba ujuana kwa viremba na ukifwatwa na kibaka yyte ujue shida yake ni kugongea sigara na sio kukufanyia wizi
Hiyo pre eclamsia ndo nini em tuelezee kidogoNikiwa mdogo wa miezi mitatu,house girl aliondoka akaniacha kitandani kwangu akanigubika na manguo. Jiko la ndani akaacha kainjika maharagwe kwenye jiko la umeme. Akaacha milango wazi akaondoka zake. Mama yangu akiwa kazini akasema arudi nyumbani kidogo. Anafika home akakuta hali kama hiyo. Mama alinisimulia mwaka jana tu. Nikasema hakika Mungu ni Ebeneza.
Jambo jingine nilikwenda Clinic ya kawaida nikiwa mjamzito. Nafika DR ananipima pressure 190/120.Anapima mkojo akanikuta na protein kibao. Akaniambia haurudi nyumbani tunakuinduce sasa hivi maana nilikuwa nimebakiza wiki nne nijifungue.
Mind you that nilikuwa najiona poa tu. Kumbe pamoja mwenyewe najiona vizuri kumbe ndani ilikuwa imejificha pre eclampsia.
Hakika Mungu ni Ebeneza kanishindia mambo mengi sana yaliyo nje ya uwezo wangu na ataendelea kunishindia.
Kifafa cha mimba.Hiyo pre eclamsia ndo nini em tuelezee kidogo
Mmmh.. .
Nilikaa I.c.u..mda sana tu..
Lakini ajabu..nilikuwa pembeni ya mwili wangu ulipolala...natoka na kuingia wodini...naona ndugu na madoctor...tatizo nilikuwa siwezi kushika mtu au kitu wala kuongea na nikitembea nilikuwa sikanyagi ardhi!
Nikajiuliza sana sana...kwa nini iwe hivi? jibu sikupata!
Kwa ufupi...nilirudi .. katika hali ya kushangaza mno.
Lakini ndugu zangu ... huu ulimwengu
una mapana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefupisha sana story jamaa aliporudi lindo uliendelea na mgegedoSitasahau mwanamke alivyonidanganya yupo single kumbe kaolewa katikati ya mgegedo mlango ukagongwa mumewe karudi aisee!!!!! Nauliza nani tena huyo anasema atakuwa mume wangu doh! Gafla nikahisi tumbo la kuhara fastar nikapewa wazo lakuingia uvunguni mwa kitanda
Aise kama unavyoelewa vungu za vitanda vya wabongo wengi vumbi la kutosha yaani dk40za kuwa ndani ya uvungu sitazisahau..yaani chafya imenibana kikohozi kimenibana tumbo la kuhara ndio limechanganya aise,nilimsihi na kumwomba Mungu kwa moyo wa dhati aniepushe na balaa mixer kutubu
Mungu mwema jamaa akakaa kidogo akasema alikuwa mlinzi kumbe na siku ile walipangiwa lindo watu wawili ye akaona arudi tu home kupumzika na mkewe jioni awahi lindoni maana sio mbali na hapo kwake
But mkewe akamwambia vipi ulale huku afu kule mwenzako akavamiwa huoni itaonekana ulipanga njama za wizi jamaa akaelewa somo akasepa'
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah pole Sana mamy!...