Unakuta Mwanaume anavuta shuka muda huu, Wenzie tunaponda maisha bar

Hili kalitolea maelekezo PM NEMC naona wanatekeleza oda. Tweeter kule page ya PM nimesoma
Ooh okay ndiyo utajiuliza hao NEMC huwa wanafanya kazi gani? Mpaka wapewe maelekezo.
Ukute wanapelekewa malalamiko lundo, wanakula tu na wenye bar.
Ngoja tuone litadumu, japo watapata hasara ila waje na adabu sasa.
 
Yaani ww Jamaa ni wa hovyo sana na hizi thread zako ambazo hazina tija kwenye hii TZ ya Viwanda 🤣🤣🤣🤣
 
Watu wa madini nawajua sana nimezunguka kwenye migodi ya dhahabu Kanda ya ziwa yote wenye fujo huwa ni nyie mnaozama kwenye mashimo ya matajiri mnachimba mwezi mzima mshahara ugali dagaa ukiotea laki unaleta fujo bar

TAJA HIYO MIGODI NKUUMBUE HAPA WEWE JINGA

unajifanya mtu wa migodi kumbe mlala hoi, hakuna mtu wa madini mwenye makasiriko na hela ndogo za starehe.

HAKUNA
 
kama kuna aliyeiona chupa ya k vant na hizo serengeti alizosema huyu mchokoza mada aniambie na mimi niangalie tena hiyo picha, huenda nimelewa. Enewei, huo mwandiko wako sio wa baa, maandishi yanaonesha upo sebleni unasubiri watu wakalale na wewe ulale.
 
Ooh okay ndiyo utajiuliza hao NEMC huwa wanafanya kazi gani? Mpaka wapewe maelekezo.
Ukute wanapelekewa malalamiko lundo, wanakula tu na wenye bar.
Ngoja tuone litadumu, japo watapata hasara ila waje na adabu sasa.

ila bantu lady wee ni mrembo aisee daah.

Napenda wanawake smart kama wewe, uko wap mrembo?
 

Picha imepigwa upande mmoja wewe kimada.

Acha kutype huku unapush kinyesi saw?

Mwanaume una makasiriko kisa huna hela

Go Find a Job, pumbavu
 
Reactions: EEX
Kuwa makini maana mkeo asijepondwa na wajuba huko nyumbani
 
TAJA HIYO MIGODI NKUUMBUE HAPA WEWE JINGA

unajifanya mtu wa migodi kumbe mlala hoi, hakuna mtu wa madini mwenye makasiriko na hela ndogo za starehe.

HAKUNA
Migodi ipi unataka mzee tuanze na kahama migodi mikubwa ipo Buzwagi na Bulyanhulu migodi midogo ipo Mwime kalole,nyangalata,nyamishiga, segese(tambalale), Namba 9 kakola (mwaka 2019 ndo ulifumuka pembeni ya mgodi wa bulyanhulu)

Una lipi la kusema hapo? Unaijua hiyo migodi? Kama huijui we bado sana kwenye mambo ya madini
 
Akili kubwa 👏🏾👏🏾
 
Picha imepigwa upande mmoja wewe kimada.

Acha kutype huku unapush kinyesi saw?

Mwanaume una makasiriko kisa huna hela

Go Find a Job, pumbavu
Kwann unapenda kujibu hoja kwa matusi na kejeli?
Umeleta hoja subiri tuizungumzie
Uwezo wa kunyamaza na kuiacha tu thread ikae bila hata comment upo ..ila kwasababu tupo JF kuburudika pia tunatoa michango yetu pasipo kumbughudhi mtu
 
Machawa utawajua tu , Huwa Wana kelele sana kumbe bia za bure

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 

Nakuunga mkojo..Aagh.. sory nakuunga mkono muda huu wetuuu... tunafagiaa.
 

DOGO [mention]Lucha [/mention] HUO MGODI WA MWIME NAUFAHAMU UNAKATIA KONA HAPO NDEGESELA KIWANDANI UNANYOOKA NA BARABARA UNAZIPITA PLANT ZA MECKJOA NA POA POA.

SEGESE, NNAMBA 1 MASABI SASA HV WAMEPOKONYWA NA WACHINA WANAITWA LONG FORTUNE WANACHIMBA DHAHABU

KUNA MIGODI MIWILI HAPO YA WACHINI MMOJA NI OPEN CAST MINING NA MWINGINE NI UNDERGROUND, SASA HVI WACHIMBAJI WADOGO WAKO MANDU

KATORO NIMEFIKA, MPAKA MGODI WA BARCLEEF WA MIDDLE SCALE.

NAMBA 9 KAKOLA NIMEFIKA


HUKO BUZWAGI NA BULY NIMEFIKA NA JUZI TULIENDA KUPIMA KIWANJA CHA NDEGE PEMBENI MWA BUZWAGI KINAKARABATIWA.


NIKIANZA KUTAJA NTAJAZA NA UNANIHARIBIA VIBE TU.


KWENYE MADINI MIMI NI EXPERT KUANZIA VYETI MPAKA UZOEFU NAPIGA MIGODI MIDOGO NA MIKUBWA



KIUFUPI NATAKA NKUAMBIE HIVI

“MIMI NI KIWANDA”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…