by the usishindane na mwanamke unaweza kuta hata hiyo hela aliyelipa ni boss wako.Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Kitambo kidogo tulipelekwa training DAR, ofisi wakatufanyia booking Sleep Inn hotel iko mitaa ya Kariakoo (Swahii/Mahiwa) kama sijasahau. Kuna binti tulikuwa naye yeye akafikia White Sand hotel, yaani akaacha booking ya bure, sponsor kamlipia huko. Asubuhi tunakutania mitaa ya posta, yeye analetwa na gari nene kwelikweli, sema demu mwenyewe alikuwa simple sana hana makeke kabisa. Siku ya mwisho anatutoa wote out kula kunywa juu yake.Kwani hujui kabla hajasafiri Kuna mdau anakuwa ameshamfanyia booking na kugharamia Siku zote atakazokaa?
Hao wana masponsor 😜🙌
Aiseee!Kumbe ni mdada, aisee wanawake waache kama walivyo usishindane nae, mie nikajua ni mwanaume, kwa mwanaume sawa, una haki ya kumshangaa
?Perdiem toka mwka jana junior ni 170 na senior ni 250. Tulikuja zanzibar mm peke yangu nililala kwenye Lodge elf 20 migombani na haikusaidia mana niliomba kuketewa nyash nikalipa 40k per night
Cc. Nyamwi255
Kuanzia nyota 3 si ni hotel mkuu?Mkuu hotel zina vigezo ambavyo inatakiwa kuwa navyo ili iitwe hotel. Sasa bongo mtu lodge anaita Hotel. Hotel ina vigezo vyake sio genge la kuuzia supu ya mapupu mtu anakuambia ni hotel
Ku-le-tewa
Wee wacha waenjoy bwana lazima mwili unaokupa pesa uupe raha mwanawane.Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Serengeti porini pale kuna lodge za 2000+ USD, wewe unaongea nini hapa Mkuu?Hakuna lodge ya elfu 80 hizo ni Hotel hata kama ukiona imeandikwa Lodge tena hotel kubwa
Itakua akiona jirani kanunua nyama anamind, unakulaje mboga ya elf 9 wakati fungu la mchicha 200, dagaa bukuWanaoishi na wewe kazi wanayo tena kubwa!!
Wrong.Mkuu hotel zina vigezo ambavyo inatakiwa kuwa navyo ili iitwe hotel. Sasa bongo mtu lodge anaita Hotel. Hotel ina vigezo vyake sio genge la kuuzia supu ya mapupu mtu anakuambia ni hotel
Hawajui tofauti ya lodge na hotel.Serengeti porini pale kuna lodge za 2000+ USD, wewe unaongea nini hapa Mkuu?
Ana uchungu na maisha ya wengine sio poa 🙌🙌akipewa kulipa mishahara lazima apunguze helaItakua akiona jirani kanunua nyama anamind, unakulaje mboga ya elf 9 wakati fungu la mchicha 200, dagaa buku