Unamhonga pesa mzigo hakupi, halafu kuna boya mmoja anamtafuna bure

Unamhonga pesa mzigo hakupi, halafu kuna boya mmoja anamtafuna bure

Hujawahi kuchunwabwewe, nibkama kamchezo ka karoti na pundab, wewe unakuwa punda yeye mningi'niza karoti
Mkuu mie sijawahi kutumia hela kuwin penzi la mwanamke so i guess always niko kwenye upande wa karoti na si punda.

Mie mwanamke nikimtaka nampigisha story tu na tunaelewana vizuri kabisa.😂 Akileta tricks najua jinsi ya ku decode.
 
Lkn pia kuchunwa inategemea na type wa wanawake unaowataka, wanawake wanatofautiana kabla hujaonesha Nia ya kuwa nae pata mda kdgo utafakari
 
Mkuu mie sijawahi kutumia hela kuwin penzi la mwanamke so i guess always niko kwenye upande wa karoti na si punda.

Mie mwanamke nikimtaka nampigisha story tu na tunaelewana vizuri kabisa.😂 Akileta tricks najua jinsi ya ku decode.
Unavomtoa aout si unatumia pesa lengo ni kumdamganyia beer na msosi ili baadae akupe papuchi

Hivi unahabari kuwa hilo ni game mnaplay nayeye anakua anajua anakuchezesha kama pele
 
Unavomtoa aout si unatumia pesa lengo ni kumdamganyia beer na msosi ili baadae akupe papuchi

Hivi unahabari kuwa hilo ni game mnaplay nayeye anakua anajua anakuchezesha kama pele
Hahahahah hivi kumtongoza mwanamke online au kwa simu hizo bia anatuhudumia nani humu?😂

Mwanamke kumuwin unahitaji uwe na negotiation skills za hali ya juu ili kumshawishi akupe matokeo unayoyataka.

We began to do that on elementary school. Kwa sasa tushakuwa wababa tunaendeleza kujinoa tu. Mambo yamekuwa mepesi baada ya ujio wa simu.

Most guys sikuhizi hawana hizi skills na kwakuwa wamegundua short cut ni ku introduce miamala basi wamejazana ujinga kuwa bila hela hupati mwanamke ila cha kushangaza ni hadi muuza lamba lamba ana mke na watoto, konda wa daladala, machinga wote wana wake na watoto.

Ubaya ni kuwa ukitumia hela utakuwa na access ya aina flani ya wanawake ila sio makundi yote. Kuna wanawake wa hovyo wa kuokoteza na kuna wanawake waliostaarabika wenye maadili safi.
 
Unavomtoa aout si unatumia pesa lengo ni kumdamganyia beer na msosi ili baadae akupe papuchi

Hivi unahabari kuwa hilo ni game mnaplay nayeye anakua anajua anakuchezesha kama pele
Et Kama pelle ,kwanz unamdanganyaje mtu mzima na nywele zake kua straight 😀😂😂
 
Kila dem ana gia yake ya kumuingilia. Ukikosea mahesab ukaingia na gia ya kisoro ndo hivo utachunwa sana. Most men wana shida ya kutokuwa na confidence so wanaamini watawin mioyo ya wanawake through kuhonga and zawad while in real sense women dont realy give a shit about that. Akielewa sera zako utamkaza kiulaini tu.
Zamu yako ikifika, piga miti (na usipige kinyonge, piga kbsa mpka ambulance iwe standby), ukimaliza funga zipu chochora. Kupigwa mizinga na kuikubali ni ujinga wako binafsi.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hatari sanaa
 
Hellow wakuu,

Hawa wanawake hawa wanatuchezea sana akili, unamtongoza anaanza kula pesa zako mzigo hakupi, au anaweza kukupa mara moja kisha akakupiga parefu kymbe wakati huo kuna boya mmoja anamkamua bure kabisa bila kumpa chochote,

Basi ALLAN ROGER CURRIE anakuletea suluhisho ktk kitabu chake kiitwacho
Mode One: Let the Women Know What You're REALLY Thinking
Hiki ni kitabu bora kabisa kuwahi kutokea duniani kinachomchambua mwanamke kwa lugha rahisi kabisa inayoeleweka, kitabu hiki kina rate ya five star Amazon na Z library

Ninawawekea hapo chini

Ila kabla hujakisoma toa maoni yako kwanza unadhani kwanini mwanaume mmoja anachunwa wakati mwingine anakula bure?
Kwahiyo wewe umeona huyo anayemtomber bure huyo unayemhonga ndo boya?
Pimbi wewe ndo boya huna akili unahonga wenzio wanakula kimasihara.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom