Unamhonga pesa mzigo hakupi, halafu kuna boya mmoja anamtafuna bure

Unamhonga pesa mzigo hakupi, halafu kuna boya mmoja anamtafuna bure

Jinsi ya kuitumia MODE ONE soma hiki

Hawa viumbe ndio maana wanatafunwa bure na wahuni sababu wahuni wanaijua siri ya game.

Binafsi nimefanya utafiti na majaribio kabla ya kushare nanyi hiki kitabu

Mshindwe wenyewe
Mpaka sasa watu 7 washakidownload
 
Hii ilikuwaga zamani ila hawa wasasa wapenda hela mta-share tu na jamaa ambae hampi hela ila hawez kukunyima kabisa kama unampa hela
Hauju kitu mkuu, mimetogoza demu tangu mwezi wa Kwanza tarehe 4 mpaka leo hii sijaambulia kitu na nimesha toboka vitu vingi sana but me sikuwa na lengo la mbususu nilikuwa nalengo la kumuweka ndani kabisa kama wife but imeshindikana, ni juzi tu nikaja gundua kuwa anayepewa mbususu ni jamaa furani hivi ambaye anamademu kibao na anawapanga asikwambie mtu.
Wanawake hawaeleweki wanataka nini msela wangu
 
Kwa muujibu wa kitabu hiyo ni aina flani yabwanaeake wanaopenda kuumiza wanaume huyo hata kama akikupa papuchi ipo siku atakuomba hela ya nauli na atakuambia kapamda boda yupo njiani then siku inaisha kimyaa
Yan Yuko hvyo hvyo huyu dada afu eti anachukia chukia hovyo mimi naisi anaelekea kunishinda

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Hauju kitu mkuu, mimetogoza demu tangu mwezi wa Kwanza tarehe 4 mpaka leo hii sijaambulia kitu na nimesha toboka vitu vingi sana but me sikuwa na lengo la mbususu nilikuwa nalengo la kumuweka ndani kabisa kama wife but imeshindikana, ni juzi tu nikaja gundua kuwa anayepewa mbususu ni jamaa furani hivi ambaye anamademu kibao na anawapanga asikwambie mtu.
Wanawake hawaeleweki wanataka nini msela wangu
Mkuu nakushauri usome hiki kitabu kitakusaidia sana
 
Hahahahah hivi kumtongoza mwanamke online au kwa simu hizo bia anatuhudumia nani humu?[emoji23]

Mwanamke kumuwin unahitaji uwe na negotiation skills za hali ya juu ili kumshawishi akupe matokeo unayoyataka.

We began to do that on elementary school. Kwa sasa tushakuwa wababa tunaendeleza kujinoa tu. Mambo yamekuwa mepesi baada ya ujio wa simu.

Most guys sikuhizi hawana hizi skills na kwakuwa wamegundua short cut ni ku introduce miamala basi wamejazana ujinga kuwa bila hela hupati mwanamke ila cha kushangaza ni hadi muuza lamba lamba ana mke na watoto, konda wa daladala, machinga wote wana wake na watoto.

Ubaya ni kuwa ukitumia hela utakuwa na access ya aina flani ya wanawake ila sio makundi yote. Kuna wanawake wa hovyo wa kuokoteza na kuna wanawake waliostaarabika wenye maadili safi.
Sahihi [emoji817]%
 
Yani wewe hapo hauna utofauti na mtu aliye andika kama unataka kuwa tajiri soma kitabu flani na akiambatanisha icho kitabu.

Wewe kama umekisoma kweli kwanini usi share ulicho jifunza wewe kama wewe lakini mtu akihitaji kupata maarifa zaidi ndo asome kitabu siyo bla bla nyingine izo.
Wavivu wakusoma vitabu utawajua tu ata humu wapo😀😀😂😂
 
Back
Top Bottom