TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Hahaaa... hiyo ni tabia ya mademu karibu wote wazuri hua wana viburi balaa. Mi kuna mmoja alizingua nikamkatia mawasiliano nikajua atajirudi, huu unakatika mwezi wa pili sasa kapiga kimya na mimi kimya..!Mkuu anakiburi balaa huyu manzi