Unamhonga pesa mzigo hakupi, halafu kuna boya mmoja anamtafuna bure

Mkuu anakiburi balaa huyu manzi
Hahaaa... hiyo ni tabia ya mademu karibu wote wazuri hua wana viburi balaa. Mi kuna mmoja alizingua nikamkatia mawasiliano nikajua atajirudi, huu unakatika mwezi wa pili sasa kapiga kimya na mimi kimya..!
 
Hapo moyo unauma kichiz unasubiri akucheki, iyo mindset itakutesa Kuna kitu unatakiwa ufanye uyo dem amesha move on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…