Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

Kila kimoja kina umuhimu wake na mpangilio wake wa kukipata sio ishu mtu kumiliki macho 3 huku hana kiwanja, wengine target ni kununua nyumba mjini sio kiwanja.
 
Kwakweli hapa panauhalisia wabongo tulio wengi tunaangukia hapa hasa watoto wakike.
 
Hivi Mbona, Wabongo kumiliki kiwanja imekuwa dili sana, yaani ukipata hela badala ya kuikuza unawaza kwenda kuwapa watu ili wakupe Ardhi. Unatupa hela miaka kumi hujajenga kitu.
Mbona Wahindi hawakimbilii kununua vipisi vya Ardhi
 
Ni aibu na fedheha kumiliki simu ya mamilioni wakati hata kiwanja cha laki 5 kule kisemvule huna unatakiwa ukaombewe au ukapimwe akili

Sikujua Kisemvule kiwanja laki tano, ahsante

ki tochi hakina internet nisingeona hii michongo

Sasa laki tano ya kiwanja nnayo, kujenga milioni 30, 50, sina, nafanyaje?

nikikaa na kiwanja bila kuendeleza inakuaje kiserikali?
 
...Kupanga ni Kuchagua Mzee. Inawezeka anainunua hiyo Iphone kwa sababu ana uhakika kwamba itamuwezesha kupata Viwanja hata Vinne!!
 
Yaani kuna watu akiwa na kiwanja basi anaona keshapatia maisha. Kila mtu ana kipaumbele chake ndugu tusipangiane. Kiwanja chenyewe umenunua huko kibaha ndanindani huwezi hata weka duka then unajisifu kuwa na kiwanja.
Umeamua kunisema si ndiyo?
 
MwanaCCM umeanza wivu.Hivi wataleban wanaendeleaje?Kwa maana niliambiwa hawana noti za kusukumia gurudumu la maendeleo ya Afghanistan?
 
Mnhhhh!!!!??
 
Hii mentality ya kijinga.

Siyo kila mtu atafanana priorities na ww.

Wapi unapata kiwanja cha 3m hapa mjini?
 
Kumiliki viwanja imekua kama fasheni...unamiliki ila hujengi miaka nenda..utasikia mtu anakuja na hoja ni mtaji...
 
Hakika vipaumbele vya waafrika tulio wengi ni vya kijinga yaani mtu anamiliki simu kali alafu anakaa kwa ndugu
 
Je hizi sifa zimekaaje?! Baba mwenye iPhone, baba mwenye gari, baba aliye na mademu kibao, baba cha pombe, baba mnene, baba majisifu...
Ila tunajuwa, BABA MWENYE NYUMBA ni ULTIMATUM..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…