ashy da don
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 615
- 670
Mkuu yule demu cheupe,kama watu wanavyohonga siku hz mm nlikua nahonga elimu yani nlikua namhonga elimu mpaka basi,mana ndo ktu pekee nlichokua naweza kumhonga[emoji4], imagine alipiga Division one olevo na akawa wa kwanza kwa mabinti!nazani shida yangu ilikua moja tu nilikua rough sana,nilijiona john kisomo na manzi akawa anatoka na barobaro mmoja hivi!Baada ya kumaliza O level ikawaje......?
Na mmewe yumo humu humu piaSophia na nyamizi popote mlipo daah nilipenda hzi totoz ila utoto nao ukichangia sikuweza kuwala ila walinifanya niwe naenda shule. Ikiwa msafi sanaa na nikiwa mtaani niwe msafi sanaa…but machoz yakifutika form 2 baada ya kuangukia kwa mtoto jina kapuni maana yupo humu…we were in strong feeling na akinipa heshima ya kuvunja bikra yake ilikua chini ya trekta la shule daah sitasahau..after school tukapoteza miaka.. ila mitandao ikatukutanisha tena tulichat kwa more than 4hrs na kukumbushana yoote ya shule..kaolewa na anamaisha bomba ila hajasahau tulivyoburuzana chini ya trekta mpk nikavunja ile kitu hilo hajasahau hata kipengele..life lina full of memories
Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahahaaaaaaaaaaaaaaa dah nimecheka sana aiseeShaasa kama alivopenda kujiita nakumbuka nikiwa naingia 4m2 ye alikuw anaingia f1 babaake alimpleka njee ya mkoa nakumbka likizo akiwa anaondoka nilikuw nasimam barabarani bus likipita ananipungia mkono nilimpenda sana tulitengana nae nilipomalza f4 nikiwa f6 alinitafta akniuliza kam ninampango nae au aolewe nilimjibu tu olewa mimi sio yule tena unae nijua nishabadilika sahiv anamtoto mm bado napambana n kimasihara.
Darasa la tano una umri gani? Bora hata useme form 2 au3, mtoto wa sarasa la tano ni mdogo hakuna anachoelewa tuwe wakweli, labda hawa wa kizazi hiki lakini sio enzi zetu
Vaileth Msafiri.
Popote ulipo tafadhali.
Ndio alikua crush wako au unatutaarifu mkuuNilisoma na Wema Sepetu. Enzi hizo Dar es Salaam Independent School
Huwa najiuliza sana ni mimi huyu huyu ndy nilikuwa nasubri basiHahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahahaaaaaaaaaaaaaaa dah nimecheka sana aisee
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu mkuu...yaani inatokea tu!Mimi nilianza na mariamu shule ya msingi,akaja sauda o level, sasa naishi na niliyempa mimba yaani..daah
Wee kama mimi nilikuwa namaind sana hizo mambo nikiwa mdogoNakumbuka darasa la kwanza alinitamkia mbele ya darasa "nakupenda" mm nae badala nifrahii nikaona ananiabisha nikawa nampiga ila hakomi 2017 nilikutan nae anajitambulisha muda huo ata simkumbuki
Alipatwa na nini huyo Jackie?Jackie popote ulipo, nilikupenda sana.
Mtoto ana nyusi kama za bandia kumbe ni natural, nywele za singa.
Kweli ulibarikiwa uzuri lakini maisha yako ya elimu yaliharibika vibaya kutokana na misfortunes zilizotokea baada ya kumaliza shule.
Niliporudi likizo ya kwanza kijijini na kukuulizia, habari nilizo pata nilitokwa na machozi. Sasa nimebaki na picha tuliyopiga pamoja siku ya kumaliza primary lakini kamwe sitakusahua.
Jamani ukimpenda mtu mwambie. Ukikaa kimya unaidhulumu nafsi yako.
😍😍Nikimpenda mtu ni ngumu sana kumtoa moyoni Sofía ilikua rahisi Kwakua Nilikua bado mdogo. Sipendagi hovyo hovyo na nikipenda looh kila kitu chako na kinachokuzunguka nakipenda. Hata emoj unazokua unatumia nazipenda...nakua nikiziona nakumbuka, nyimbo, Stori, vyote vinakua vinanikumbusha😢
Amani ya Bwana iwe nanyi milele daimaWapo watu wazima maskini vilevile,
tangu kukua kwangu nilizungukwa na wanaume wanaonizidi kuanzia 14-19 yrs wa kuposa, nikaingia ulimwengu wa mahusiano asilimia kubwa Ni hao hao age gape kubwa ilikuwa ni 21, hivyo nimewazoea sana, utani upo mwingi tu wengi wao wanadekeza sana, wanabembeleza sana, wavumilivu, wamepitia mengi ktk mahusiano wana uzoefu pia, kiasi Fulani wanajua kutuhandle wanawake, wana nguvu nyingi tu[emoji39][emoji39] kuwazidi nyie mabarobaro km wasiwasi wako Ni huo
Baba yangu alinipata akiwa na 20 yrs kwahiyo Ni kweli mi nimekuwa kimahusiano na wanaume ambao Ni agemate wa mzee, sijutii silaumu Wala siumii amani Raha na mapenzi yangu yapo kwa watu aina hiyo na naridhika kiroho Safi
Mume wangu niliyenae ananizidi 16 naenjoy saaaana
Hope nimekujibu mkuu
AmenAmani ya Bwana iwe nanyi milele daima
Alipatwa na nini huyo Jackie?