Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

Baada ya kumaliza O level ikawaje......?
Mkuu yule demu cheupe,kama watu wanavyohonga siku hz mm nlikua nahonga elimu yani nlikua namhonga elimu mpaka basi,mana ndo ktu pekee nlichokua naweza kumhonga[emoji4], imagine alipiga Division one olevo na akawa wa kwanza kwa mabinti!nazani shida yangu ilikua moja tu nilikua rough sana,nilijiona john kisomo na manzi akawa anatoka na barobaro mmoja hivi!
Nilivomaliza o level tukaaachana nkampotezea,kufika chuo nikamkumbushia akanikataa tena[emoji9][emoji9],sasa hivi nshakata tamaa ingawa namba zake bado ninazo!
 
Sophia na nyamizi popote mlipo daah nilipenda hzi totoz ila utoto nao ukichangia sikuweza kuwala ila walinifanya niwe naenda shule. Ikiwa msafi sanaa na nikiwa mtaani niwe msafi sanaa…but machoz yakifutika form 2 baada ya kuangukia kwa mtoto jina kapuni maana yupo humu…we were in strong feeling na akinipa heshima ya kuvunja bikra yake ilikua chini ya trekta la shule daah sitasahau..after school tukapoteza miaka.. ila mitandao ikatukutanisha tena tulichat kwa more than 4hrs na kukumbushana yoote ya shule..kaolewa na anamaisha bomba ila hajasahau tulivyoburuzana chini ya trekta mpk nikavunja ile kitu hilo hajasahau hata kipengele..life lina full of memories
Na mmewe yumo humu humu pia
 
Shaasa kama alivopenda kujiita nakumbuka nikiwa naingia 4m2 ye alikuw anaingia f1 babaake alimpleka njee ya mkoa nakumbka likizo akiwa anaondoka nilikuw nasimam barabarani bus likipita ananipungia mkono nilimpenda sana tulitengana nae nilipomalza f4 nikiwa f6 alinitafta akniuliza kam ninampango nae au aolewe nilimjibu tu olewa mimi sio yule tena unae nijua nishabadilika sahiv anamtoto mm bado napambana n kimasihara.
Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahahaaaaaaaaaaaaaaa dah nimecheka sana aisee
 
Darasa la tano una umri gani? Bora hata useme form 2 au3, mtoto wa sarasa la tano ni mdogo hakuna anachoelewa tuwe wakweli, labda hawa wa kizazi hiki lakini sio enzi zetu

Miaka 11, soma vizuri huko juu, mtu anakuwa na hisia kali hata yeye hajui ni nini, yaani akimuona crush moyo unabadili frequency uatamani muda wote umuone, muwe karibu lakini hujui kama ndio mapenzi hayo.
 
natamani mtu mwenye uelewa zaidi wa hili suala kua ni maumbile au ni nini, kwa kweli lile penzi lin kila hadhi ya kuitwa penzi. Catherine kokote uliko ujue nilikupenda sana ingawa sijawahi kukueleza
 
Nakumbuka darasa la kwanza alinitamkia mbele ya darasa "nakupenda" mm nae badala nifrahii nikaona ananiabisha nikawa nampiga ila hakomi 2017 nilikutan nae anajitambulisha muda huo ata simkumbuki
Wee kama mimi nilikuwa namaind sana hizo mambo nikiwa mdogo
 
Jackie popote ulipo, nilikupenda sana.
Mtoto ana nyusi kama za bandia kumbe ni natural, nywele za singa.
Kweli ulibarikiwa uzuri lakini maisha yako ya elimu yaliharibika vibaya kutokana na misfortunes zilizotokea baada ya kumaliza shule.
Niliporudi likizo ya kwanza kijijini na kukuulizia, habari nilizo pata nilitokwa na machozi. Sasa nimebaki na picha tuliyopiga pamoja siku ya kumaliza primary lakini kamwe sitakusahua.

Jamani ukimpenda mtu mwambie. Ukikaa kimya unaidhulumu nafsi yako.
Alipatwa na nini huyo Jackie?
 
Nikimpenda mtu ni ngumu sana kumtoa moyoni Sofía ilikua rahisi Kwakua Nilikua bado mdogo. Sipendagi hovyo hovyo na nikipenda looh kila kitu chako na kinachokuzunguka nakipenda. Hata emoj unazokua unatumia nazipenda...nakua nikiziona nakumbuka, nyimbo, Stori, vyote vinakua vinanikumbusha😢
😍😍
 
Wapo watu wazima maskini vilevile,

tangu kukua kwangu nilizungukwa na wanaume wanaonizidi kuanzia 14-19 yrs wa kuposa, nikaingia ulimwengu wa mahusiano asilimia kubwa Ni hao hao age gape kubwa ilikuwa ni 21, hivyo nimewazoea sana, utani upo mwingi tu wengi wao wanadekeza sana, wanabembeleza sana, wavumilivu, wamepitia mengi ktk mahusiano wana uzoefu pia, kiasi Fulani wanajua kutuhandle wanawake, wana nguvu nyingi tu[emoji39][emoji39] kuwazidi nyie mabarobaro km wasiwasi wako Ni huo

Baba yangu alinipata akiwa na 20 yrs kwahiyo Ni kweli mi nimekuwa kimahusiano na wanaume ambao Ni agemate wa mzee, sijutii silaumu Wala siumii amani Raha na mapenzi yangu yapo kwa watu aina hiyo na naridhika kiroho Safi

Mume wangu niliyenae ananizidi 16 naenjoy saaaana
Hope nimekujibu mkuu
Amani ya Bwana iwe nanyi milele daima
 
Dah... mtoto pendo... nisipoenda class vidudu hasomi, analia siku nzima hadi arud hom anione....

Nami nikampenda, sipandi piki piki 110 ya baba adi niwe na pendo

Pendo roho iliniuma baba angu alipoamua darasa la kwanza nikasomee kwetu milimani... huo ukawa mwanzo wa kukupoteza pendo.

Ninarud darasa la3, pendo wamehama, haijulikani wapi... naangukia kwa salma... mtoto mixer mrangi na muarabu... salma anakua serious hanipendi hadi siku nawakuta wanacheza kimama mama... nakaitwa niwe baba... penzi likawa la kweli... nikitoka shule salma lazma aje kwetu... nimuoneshe mbwa wangu simba.. mbwa anayeogopeka mtaani kwetu nyuma ya mskiti wa masjid qubah.... ah salma tukicheza kombolela twaenda jificha juu ya magunia ya mahindi yalopangwa hadi juu... tunatafutwa hadi tunaitwa tujitokeze...

Tunahamia chang'ombe hadith yangu na salma nayo inaishia hapo...

Najikuta namtaman nankumpenda mtoto anjelina... ila yuko sirias na shule, hataki ujinga... ananikataa

Maisha yanaenda kwa kasi huku na kule namaliza form4... nakuwa rafiki na jamaa mmoja... urafiki kupitia rafiki.

Naenda kumpitia nyumbani kwa jamaa twende club84, lahaulaaaah... namkuta pendo... kumbe jamaa ni kaka ake pendo... pendo hanikumbuki na mm naingia ganzi coz imekua pisi kali balaaaaaaaa.

Baada ya muda namkumbusha... dah pendo anafurah... tunaanza urafiki.... baada ya muda kidume naomba game...

Pendo anakolea kwa shoo za kibabe na kisela.... lkn anakuja gundua nina pisi nyingine..... anapata tabu sana hadi jamaa ikabidi aniombe nimsaidie dada ake asije kufa kwa tatizo la moyo... mimi usela unakua mwingi nimekolea kwa mtoto wa kiswazi mtoto wa kawaida sina ilanhana complication... mtoto wa kiswazi ila anaishi kizungu..... kuhama mkoa inakua suluhisho kwa pendo... anaenda kwao moshi....

Maisha yanaenda kwa kasi ya ajabu...

Siku nipo nam hotel, nakula zangu bia, mara zinaingia pisi kama 3 ivi kali balaa... kuchek moja naiona kumbe ni salma... dahhh.... bila kujizuia kaja tukahug.... salma kachora mitatuu... salma anaonekana kawa paka shume... anaonekana ukiingia kiboya unapigwa ela na mzigo hupati... kumbe yana apointment na mbunge fulani wakale raha..

Salma ananipa namba.... baada ya kuondoka na yule mbunge... usiku salma ananichek ananiambia amelewa sana anaomba nikamchkue nmpeleke nyumbani... dah

Kiukweli sikuweza kubisha, namkuta dodoma hotel, anaingia kwe taksi ya jamaa yangu yasin mzee wa kuwalamba... jinsi alivyo jambazi kumbe salma keshanitathmini kajua labda nna maisha... dah kumbe me kachala tu mzee wa mishe mtu wa watu... akiwa amenikumbatia ananiambia hawez kwenda kulala pekeake kwanza kwao hawatamfungulia.... dah.. kidume namwambia yassin anipeleke geto.....

Mwezi na zaidi salma anakolea... mara paap... siku anakuja na kikaratas cha hospital... kapima ana mimba, yuko pia na kipimo cha mkojo kwamba kama siamini apime tena mbele yangu... lahaulaaa

Salma uyu uyu mtoto wa mjini mwenye mambo mengi... aaah siwez zaa na mwanamke wa ivi mimi... najisemea akilini

Salama anagoma kutoa mimba anaamua kuzaa..

Mishe za hapa na pale... huku na kule tunapoteana na salma...

Maisha yanaendelea...
 
Dah umenikumbusha mbali sana, ilikuwa darasa la 3A panga pangua kuweka usawa kwenye madawati nikadondokea kwenye dawati lake. Nilijiona mwenye bahati sana na nilifurahi sana ila kwa utoto ule sikua na uwezo wa kuthubutu kumwambia chochote(alikuwa mkimya sana, mpole na mstaarabu nadhani hii ndio sababu hadi sasa napendelea Ke wenye sifa hizo.
[emoji17] the following day nikaumia mpirani nikashindwa kuhudhuria shule kwa wiki nzima. Wakati wote huo nikiwa nyumbani najiuguza nilikuwa namuwaza desk mate wangu ambae nilikuwa nampenda sana na sometimes nilitaka kwenda shule but mama akawa ananizuia kwakuwa sijapona na alijua kabisa akiniruhusu tu nitaenda kucheza na kuumia zaidi(utoto bhana Mungu akutunze daima mama yangu mzuri).
Baada ya wiki nikaweza kurudi shule kwa furaha nikijua naenda kumuona mtoto wa watu anaenikosha moyo. J3 hola, J4 hola, J5 hola mh nikajipa moyo labda anaumwa ndio maana hajaja na haikuwa kawaida yake. Ikapita alhamisi na ijumaa uvumilivu ukanishinda nikamuuliza rafiki yake(niliwaona wakiwa wanaenda nyumbani pamoja). Aliniambia fulani kahama shule kahamia mkoani hata mimi hakuniaga [emoji27]. Aisee nilijiskia vibaya sikuamini nikawa napita nachungulia kwao kama ni kweli. Ilinichukua mda kuamini kuwa alishahama ila hakuwahi kunitoka moyoni. Imepita miaka mingi nikijaribu kumuulizia na kutafuta mawasiliano nae, hatimae mwaka jana nikafanikiwa kupatana nae fb, haikuwa rahisi kabisa lakini moyo bado ulikua unahitaji ukaribu nae sana( sio lazima uwe wa kimapenzi). Hadi sasa yeye n wa mwsho kuwasiliana nae jana usiku na wakwanza kunitafuta asubuhi [emoji3059]. Tayari yupo kwenye mahusiano lakini naona kuna kila dalili ya meza kupinduka kwa niliyomueleza alishangaa sana. Bado naona ni mpole, mkimya na mstaarabu mwenye hofu ya Mungu. Amekuwa faraja kubwa sana kwangu kwenye kipindi hiki ambacho huyu mama chanja wangu dizaini kama haeleweki hatua moja mbele kumi nyuma.
 
Alipatwa na nini huyo Jackie?

Baada tu ya kuanza form one baba alikufa kisha mama naye akafa kwa mshtuko baada ya kupata taarifa za kifo. Washikaji waliniambia baada ya ule msiba Jackie hakwenda tena shule hadi tena! Nasikia maisha yake yalivurugika sana, miaka mitatu baadaye siku moja nikiwa sokoni na mshikaji wangu mmoja akanionyesha Jackie yule pale. Dah! Alikuwa ameisha sana yaani sio yule Jackie wangu, jamaa akaniambia nimpe Hi lakini nilishindwa kwakweli. Sijawahi kumuona hadi leo.
 
Back
Top Bottom