Yes, mtazamo wako unaweza kuwa sahihi. Lakini mtu kama tapeli si unamsikiliza unampuuza au unamkatia simu baada ya kumsikiliza. Sasa hii ya kupuuzia namba ngeni, what if ni shida ya dharura au ni mchongo wa maana ambao watu wanakusogezea?Muwe mnatuma sms za kujitambulisha kwanza ili hata asipopokea ujue kafanya makusudi.
Wengi wanaogopa matapeli wa ile pesa tuma namba hii