Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipiga once na kuona mtu hapokei si utume sms?
Hivi hata matumizi ya sms watu hatuyajui kweli?? Unakuta 10 missed calls, huyo mpigaji anajitambua kweli?
Mimi pia mkuu, 10 missed calls unajiuliza huyu anadhani akipiga sana ndio nitapokea!Na nikikuta ma missed call ya kutosha ndio huwa si call back kabisa, najua huyo mtu hajui matumizi ya simu
kama umembebea figoMimi pia mkuu, 10 missed calls unajiuliza huyu anadhani akipiga sana ndio nitapokea!
Mimi pia sipokei namba ngeni. Na hakuna chochote illogical hapo. Kwa sababu simu yangu, muda wangu, uamuzi wangu, na nina sababu nzuri sana ya kufanya hivyo.Kweli mkuu...Maana kwangu mimi wanachofanya ni Illogical
Kwanini upige kwa namba ngeni??Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni.
Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana namba yako na una shida ungependa kuongea nae. Unapiga simu hapokei. Baadae atakuja kukwambia namba ngeni hapokei.
Nini siri ya kutopokea namba ngeni? Faida zake ni zipi au hata nyinyi mnafanya bila kujua faida na hasara zake?
3,4&5 kweli kabisaKwa uzoefu wangu,katika kupokea namba ngeni nimekutana na mengi haya;
1. Mtu anaomba Hela.
2. Anasalimia.
3. Amekosea namba.
4. Anakuliza wewe ni nani (wakati kapiga yeye).
5. Ukipokea haongei ila anasikiliza sauti.
Faida ya namba ngeni ni kupigiwa na watu wazito. Mara nyingi watu wa kwenye mfumo hutumia namba ngeni kwenye mambo yasiyo ya ofisi.
Watu hawajitambuiUkipiga once na kuona mtu hapokei si utume sms?
Hivi hata matumizi ya sms watu hatuyajui kweli?? Unakuta 10 missed calls, huyo mpigaji anajitambua kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi pia mkuu, 10 missed calls unajiuliza huyu anadhani akipiga sana ndio nitapokea!
Kwamba hujui kitufe cha msg??Mimi mwenywe nawashangaa Sana wenyemsimamo huu Sasa vipi mtu kama kapata dharula ,
Mimi binafsi nikikuta mamba ngeni napokea naongea nae kama kakosea namba namwambia sio Mimi unaye mtafuta,nikikuta missed call napiga kujua nani kanitafuta.
Kutopokea simu kisa namba ngeni ni utoto, kutojiamini, kiburi, jeuri, ushamba na kuwa na chembechembe za uhalifu.Wengi hatujui matumiz ya sms,jitambulishe kwanza Kwa sms baada ya kupiga cmu Ili mtu aweze kujua ww n nan,
Unakuta mtu anapiga cmu hachoki tu ,ikikata anapiga Tena ,ikikata anapiga Tena, mwishowe inakuwa usumbufu.
Anapokwambia hapokei namba ngeni unakuwa umepigia Kwa namba ipi ikiwa awali ulipiga Kwa ngeni hakupokea hayo maelezo alikupa Kwa BARUA au mlikutana USO Kwa USO !!??Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni.
Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana namba yako na una shida ungependa kuongea nae. Unapiga simu hapokei. Baadae atakuja kukwambia namba ngeni hapokei.
Nini siri ya kutopokea namba ngeni? Faida zake ni zipi au hata nyinyi mnafanya bila kujua faida na hasara zake?
Ushawahi kupigiwa na recruiters/ telemarketers 30 kwa siku?Mimi mwenywe nawashangaa Sana wenyemsimamo huu Sasa vipi mtu kama kapata dharula ,
Mimi binafsi nikikuta mamba ngeni napokea naongea nae kama kakosea namba namwambia sio Mimi unaye mtafuta,nikikuta missed call napiga kujua nani kanitafuta.
Wewe una namba ya kila mtu ?Kwanini upige kwa namba ngeni??
Na kama kweli una nia ya kumtafuta mtu no bora ukamtumia ujumbe kumfahamisha wewe ni fulani kama hajapokea simu yako.
Mimi mwenyewe namba ngeni sipokei.
Asilimia kubwa ya watu hao ukichunguza utakuja kukuta wanadaiwa na nimadeni ya muda mrefu yanayowapa aibu na kujificha sasa jwa sababu anayemdai anamoigia mara kwa mara na hapokei anaamini anaweza kuwa amebadilisha namba...na anampigia ili amdai...kwa hyo hata hiyo nayo hapokeiHaijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni.