Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kama ilivyo last option kwako kutuma msgNaona watu wengi wanajitahidi kubadili mada baada ya kukosa hoja zenye mashiko...
Hatujazungumzia kuhusu kupigiwa simu mara 5 nk....tunazungumzia hata ile mara moja tu namba ngeni imeingia hupokei.
Kuna jamaa ana namba yangu ya Tigo ila ya Voda hana. Sasa siku hiyo nikawa namtafuta kwa ajili ya shida yake halafu nikawa sina credit kwenye tigo. Dakika zilikuwa kwenye voda.
Nikampigia. Ikaita sana, wakati inakaribia kukatika ndio akapokea. Nikamwambia Fohadi hapa.
Akasema una bahati huwa sipokei namba ngeni. Sikumjali, nikamwambia ile dili imetick na fanya hivi na hivi kakamilishe swala. Akashukuru.
Sasa mtu kama huyu, unaona kabisa hana hoja za msingi kutokupokea simu. Na hapo shida ilikuwa yake. Je kuna dharura ngapi atapishana nazo? Huwezi jua muda huo mtu anakuhitaji kiasi gani hadi anakupigia simu.
Afu inshu ya msg ni senseless. Mimi kutuma msg ni last option unless sina dakika.
Wakuu mnakwama....mnakwama tena sio kidogo.
Basi na Kwa wengine kupokea simu ni last option.
Kwahiyo usitake kutulazimisha tupokee mkuu.