Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Umeomba kazi unapigiwa na afisa muajiri unasema huwezi kupokea namba ngeni...
Ofisi zinazoeleweka hutuma email, SMS na kupiga simu kwa pamoja...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeomba kazi unapigiwa na afisa muajiri unasema huwezi kupokea namba ngeni...
Hivi kama unampigia mtu simu hapokei si unaachana nae. Hawa ndio wale wasumbufu atapiga simu hata mara 20 na ukipokea utaskia nilikua nakusalimia.
Hii kitu inakwaza sanaWa hivyo huwa wanajikuta wapo blacklisted...
Kuna wale sijui watu wa makampuni ya simu, unakuta anakupigia halafu anaanza kukuletea matangazo sijui ya tiGO bima, au wale wa DSTV na ishu zao sijui ongeza kifurushi cha juu blaaah blaaah, bado wale matapeli wa kujifanya customer care...hapo umetoka kwenye kikao upokee simu ukijua ni mtu wa maana
Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni.
Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana namba yako na una shida ungependa kuongea nae. Unapiga simu hapokei. Baadae atakuja kukwambia namba ngeni hapokei.
Nini siri ya kutopokea namba ngeni? Faida zake ni zipi au hata nyinyi mnafanya bila kujua faida na hasara zake?
Wengi hatujui matumiz ya sms,jitambulishe kwanza Kwa sms baada ya kupiga cmu Ili mtu aweze kujua ww n nan,
Unakuta mtu anapiga cmu hachoki tu ,ikikata anapiga Tena ,ikikata anapiga Tena, mwishowe inakuwa usumbufu.
Kabisa mdau,cjakataa ni kwel,mi pia inanitokeaga ,kwaiyo nakubaliana na wwSio kila mtu anaweza kutuma sms
Kuna mwananchi anapiga simu anahitaji msaada wako wa haraka pengine wewe ni mtoa huduma kwenye ofisi ya umma sasa usipopokea unaona ni sawa? Eti lazima atume msg ya kujitambulisha.
Wadau acheni kujikweza na kujiona maisha mmeyapatia, heshimuni watu, hudumieni watu, saidieni watu.
Pokea simu ya mtu msikilize, linalowezekana msaidie usijione mjanja kisa umepata uhakika wa ugali na kigali cha kutembelea Mungu fundi iko siku utakwama hutoamini
Sio kampuni legit hiyo. Kampuni legit inapiga simu, inatuma message na inatuma email.Umeomba kazi unapigiwa na afisa muajiri unasema huwezi kupokea namba ngeni...
Sio kila mtu anaweza kutuma sms
Kuna mwananchi anapiga simu anahitaji msaada wako wa haraka pengine wewe ni mtoa huduma kwenye ofisi ya umma sasa usipopokea unaona ni sawa? Eti lazima atume msg ya kujitambulisha.
Wadau acheni kujikweza na kujiona maisha mmeyapatia, heshimuni watu, hudumieni watu, saidieni watu.
Pokea simu ya mtu msikilize, linalowezekana msaidie usijione mjanja kisa umepata uhakika wa ugali na kigali cha kutembelea Mungu fundi iko siku utakwama hutoamini
Wanajiona wamemaliza-harmonizeNaona watu wengi wanajitahidi kubadili mada baada ya kukosa hoja zenye mashiko...
Hatujazungumzia kuhusu kupigiwa simu mara 5 nk....tunazungumzia hata ile mara moja tu namba ngeni imeingia hupokei.
Kuna jamaa ana namba yangu ya Tigo ila ya Voda hana. Sasa siku hiyo nikawa namtafuta kwa ajili ya shida yake halafu nikawa sina credit kwenye tigo. Dakika zilikuwa kwenye voda.
Nikampigia. Ikaita sana, wakati inakaribia kukatika ndio akapokea. Nikamwambia Fohadi hapa.
Akasema una bahati huwa sipokei namba ngeni. Sikumjali, nikamwambia ile dili imetick na fanya hivi na hivi kakamilishe swala. Akashukuru.
Sasa mtu kama huyu, unaona kabisa hana hoja za msingi kutokupokea simu. Na hapo shida ilikuwa yake. Je kuna dharura ngapi atapishana nazo? Huwezi jua muda huo mtu anakuhitaji kiasi gani hadi anakupigia simu.
Afu inshu ya msg ni senseless. Mimi kutuma msg ni last option unless sina dakika.
Wakuu mnakwama....mnakwama tena sio kidogo.
NakaziaTusipangiane matumizi ya simu
Kama leo kuna jamaa kanipigia mara 6 mfululizo kuja kupokea ananiuliza aise vipi uko powa?Wengi hatujui matumiz ya sms,jitambulishe kwanza Kwa sms baada ya kupiga cmu Ili mtu aweze kujua ww n nan,
Unakuta mtu anapiga cmu hachoki tu ,ikikata anapiga Tena ,ikikata anapiga Tena, mwishowe inakuwa usumbufu.
Kikubwa madeni mkuu au kuogopa kuombwa pesa kutoka KWA jamaa, ndg na marafiki katika kipindi ambacho umekuwa umefuliaHaijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni.
Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana namba yako na una shida ungependa kuongea nae. Unapiga simu hapokei. Baadae atakuja kukwambia namba ngeni hapokei.
Nini siri ya kutopokea namba ngeni? Faida zake ni zipi au hata nyinyi mnafanya bila kujua faida na hasara zake?
Ndo haya mambo mimi yalishanishindaKama leo kuna jamaa kanipigia mara 6 mfululizo kuja kupokea ananiuliza aise vipi uko powa?