Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

Hivi kama unampigia mtu simu hapokei si unaachana nae. Hawa ndio wale wasumbufu atapiga simu hata mara 20 na ukipokea utaskia nilikua nakusalimia.

Wa hivyo huwa wanajikuta wapo blacklisted...

Kuna wale sijui watu wa makampuni ya simu, unakuta anakupigia halafu anaanza kukuletea matangazo sijui ya tiGO bima, au wale wa DSTV na ishu zao sijui ongeza kifurushi cha juu blaaah blaaah, bado wale matapeli wa kujifanya customer care...hapo umetoka kwenye kikao upokee simu ukijua ni mtu wa maana
 
Hii kitu inakwaza sana
 
Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni.

Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana namba yako na una shida ungependa kuongea nae. Unapiga simu hapokei. Baadae atakuja kukwambia namba ngeni hapokei.

Nini siri ya kutopokea namba ngeni? Faida zake ni zipi au hata nyinyi mnafanya bila kujua faida na hasara zake?

Watu wa namna hiyo nawaonaga washamba na wahajui life inaendaje.

Wakati wowote unaweza kupigiwa simu na namba mpya ikiwa heri au shari, mfano tu ndugu yako au mtu wa karibu kapata janga tuseme wife kapata ajali ameomba simu akujuze wewe hupokei namba ngeni eti

Tuachane na hilo, kuna ishu ya maana imetokea katika pitapita watu wamekufatilia wamekuta uko fresh unastahili kivuli, unapigiwa upewe habari njema eti hupokei namba ngeni sasa kwa kipi ulichonacho labda[emoji23][emoji23]
 
Wengi hatujui matumiz ya sms,jitambulishe kwanza Kwa sms baada ya kupiga cmu Ili mtu aweze kujua ww n nan,
Unakuta mtu anapiga cmu hachoki tu ,ikikata anapiga Tena ,ikikata anapiga Tena, mwishowe inakuwa usumbufu.

Sio kila mtu anaweza kutuma sms
Kuna mwananchi anapiga simu anahitaji msaada wako wa haraka pengine wewe ni mtoa huduma kwenye ofisi ya umma sasa usipopokea unaona ni sawa? Eti lazima atume msg ya kujitambulisha.

Wadau acheni kujikweza na kujiona maisha mmeyapatia, heshimuni watu, hudumieni watu, saidieni watu.

Pokea simu ya mtu msikilize, linalowezekana msaidie usijione mjanja kisa umepata uhakika wa ugali na kigali cha kutembelea Mungu fundi iko siku utakwama hutoamini
 
Mara nyingi hawa wasiopokea huwa wanaona wamejitosheleza. Hivyo wanawaona wanadamu wengine kama wasumbufu na kero kwao. Kifupi kadri unavyopata mali au cheo ndivyo unavyohitaji kuji-distance zaidi na watu na kuwaona watu wengine kama kero kwako. Kwamba wanakupotezea focus kwenye maisha.

Usiombe ukutane na wale wasoma vitabu vya akina Napoleon Hill na Kiyosaki, huwa wanakuwa na misimamo mikali pengine kuliko hata wafia dini. Mie binafsi niko kinyume, kadri ninavyopata ndio nataka kuwa karibu na watu, ila nikikosa huwa napenda kuji-distance ili nikomae na shida zangu mpaka nijikwamue.
 
Sio kila mtu anaweza kutuma sms
Kuna mwananchi anapiga simu anahitaji msaada wako wa haraka pengine wewe ni mtoa huduma kwenye ofisi ya umma sasa usipopokea unaona ni sawa? Eti lazima atume msg ya kujitambulisha.

Wadau acheni kujikweza na kujiona maisha mmeyapatia, heshimuni watu, hudumieni watu, saidieni watu.

Pokea simu ya mtu msikilize, linalowezekana msaidie usijione mjanja kisa umepata uhakika wa ugali na kigali cha kutembelea Mungu fundi iko siku utakwama hutoamini
Kabisa mdau,cjakataa ni kwel,mi pia inanitokeaga ,kwaiyo nakubaliana na ww
 
Mm mwenyewe kapuku tu ila namba ngeni huwa nadra kupokea nyingi vimeo
 
Sio kila mtu anaweza kutuma sms
Kuna mwananchi anapiga simu anahitaji msaada wako wa haraka pengine wewe ni mtoa huduma kwenye ofisi ya umma sasa usipopokea unaona ni sawa? Eti lazima atume msg ya kujitambulisha.

Wadau acheni kujikweza na kujiona maisha mmeyapatia, heshimuni watu, hudumieni watu, saidieni watu.

Pokea simu ya mtu msikilize, linalowezekana msaidie usijione mjanja kisa umepata uhakika wa ugali na kigali cha kutembelea Mungu fundi iko siku utakwama hutoamini
 
Naona watu wengi wanajitahidi kubadili mada baada ya kukosa hoja zenye mashiko...

Hatujazungumzia kuhusu kupigiwa simu mara 5 nk....tunazungumzia hata ile mara moja tu namba ngeni imeingia hupokei.

Kuna jamaa ana namba yangu ya Tigo ila ya Voda hana. Sasa siku hiyo nikawa namtafuta kwa ajili ya shida yake halafu nikawa sina credit kwenye tigo. Dakika zilikuwa kwenye voda.

Nikampigia. Ikaita sana, wakati inakaribia kukatika ndio akapokea. Nikamwambia Fohadi hapa.

Akasema una bahati huwa sipokei namba ngeni. Sikumjali, nikamwambia ile dili imetick na fanya hivi na hivi kakamilishe swala. Akashukuru.

Sasa mtu kama huyu, unaona kabisa hana hoja za msingi kutokupokea simu. Na hapo shida ilikuwa yake. Je kuna dharura ngapi atapishana nazo? Huwezi jua muda huo mtu anakuhitaji kiasi gani hadi anakupigia simu.

Afu inshu ya msg ni senseless. Mimi kutuma msg ni last option unless sina dakika.

Wakuu mnakwama....mnakwama tena sio kidogo.
 
Wanajiona wamemaliza-harmonize
 
Wengi hatujui matumiz ya sms,jitambulishe kwanza Kwa sms baada ya kupiga cmu Ili mtu aweze kujua ww n nan,
Unakuta mtu anapiga cmu hachoki tu ,ikikata anapiga Tena ,ikikata anapiga Tena, mwishowe inakuwa usumbufu.
Kama leo kuna jamaa kanipigia mara 6 mfululizo kuja kupokea ananiuliza aise vipi uko powa?
 
Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni.

Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana namba yako na una shida ungependa kuongea nae. Unapiga simu hapokei. Baadae atakuja kukwambia namba ngeni hapokei.

Nini siri ya kutopokea namba ngeni? Faida zake ni zipi au hata nyinyi mnafanya bila kujua faida na hasara zake?
Kikubwa madeni mkuu au kuogopa kuombwa pesa kutoka KWA jamaa, ndg na marafiki katika kipindi ambacho umekuwa umefulia
 
Mi sipokei simu siku ya mapumziko tu, huwa nazima simu kabisa au naweka kindege (🛩 flight mode) . Japo ofisini huwa wanamind sana.
Siku za kawaida napokea mpaka Emergency Call. Sibagui simu.
 
Unapigiwa hupokei. Ukiona hupigiwi uanze kusema una mikosi,wamekutenga hawakujali mpaka kutaka kwenda Kwa waganga Ukidhani umechezewa [emoji2] Kumbe tabia Yako tuu.

#ILA BINADAMU HATUJUI TUNATAKA NINI.DUUH.

Upigiwe usumbufu,tuma meseji kwanza kujitambulisha.

Utume meseji,Piga simu kama kuongea tuongee mambo yaishe siyo utume mimeseji Sina muda wa kujibu au kusoma sms[emoji13][emoji13]. Dah binadamu ni wagumu.
 
Back
Top Bottom