Unamsaidiaje mtu anaetaka kujiua?

Mkoa gani huo? Iringa au Njombe?

Tabia na tamaduni za jamii na jinsi jamii inavyolichukulia suala la kujiua kama suluhu ya tatizo.

Epukeni mikusanyiko na vijiwe vinavyojadili kifo kama suluhu ya mstatizo yenu. Jadilini uthamani wa uhai mliopewa na Mungu.
 
Kama unajua wanaenda kula bata mbona wewe hutamani kwenda? Au wewe hupendi raha ?
 
Well said kiongozi the more unaongelea jambo baya the more watu wanashawishika kulijaribu.
 
Back in then tukiwa watoto kuna jirani alikoroga sumu kwenye kikombe anataka kujiua baada ya ugomvi na mumewe. Mume kanyang'anya kikombe kisha faster kaja home kuomba msaada. Tukaenda, dingi yangu akamwambia mumewe hiyo sumu iko wapi ikaletwa pale, walidhani anataka ushahidi. Dingi kuchukua kikombe akwambia shika hiki kikombe umeze hii sumu yote mbele yetu. Victim akabaki kuomba tu samahani. It was so strange na siyo scientific, but it worked.
 
Funny yet helpful nimepata kitu hapa
 
Good, unajua thamani ya uhai
Nilisema wanaotaka kujiua wajiue wakawahi bata kwa sababu hawaoni thamani ya maisha yao hapa duniani. Waisiotaka kujiua wasijiue kwa sababu wanajua thamani ya maisha yao hapa duniani.

Kiufupi mtu akitaka kujiua Mimi simzuii
 
Nilisema wanaotaka kujiua wajiue wakawahi bata kwa sababu hawaoni thamani ya maisha yao hapa duniani. Waisiotaka kujiua wasijiue kwa sababu wanajua thamani ya maisha yao hapa duniani.

Kiufupi mtu akitaka kujiua Mimi simzuii
Indirect tactic ya kuwasaidia lakini wengine haiwasaidii
 
Kama unajua wanaenda kula bata mbona wewe hutamani kwenda? Au wewe hupendi raha ?
Ukiisoma comments zangu toka mwanzo utanielewa. Nimesema mtu anayetaka kujiua huwa hasemi, mtu anayesema kuwa anataka kujiua anawapima watu akili ili aonewe huruma.

Ni upuuzi
 
Una huo uwezo wa kumzuia?

Hata Mungu hamzuii amempa uchaguzi wa kuishi au kutokuishi. Uchaguzi huru.
Yeah, ndo maana nasema mtu aliyedhamiria kujiua huwa hasemi unamkuta ameshajiua ila hawa wanaoropoka kuwa wanataka kujiua ni wa kuadhibiwa viboko 12 wakati wanaingia gerezani, 12 wakati wanatoka.

Wasituchezee maana tuana kazi nyingi za kufanya.
 
Chukua hiyo mtu peleka kitambaa cheupe Sinza😀 utanishukuru baadae
 
Nikiwa shule ya msingi siku moja narudi nyumbani jioni njiani nikakutana na jamaa anapewa kipigo kitakatifu na watu wengine wawili.... nikauliza watu waliokuwepo hapo jamaa kafanyaje hadi apewe kipigo namna hii? Wakajibu kuwa alikutwa akitaka kujinyonga hivyo wanamshushia kipigo kama onyo. Nikashangaa sana na kujiuliza mbona kama kupitia kipigo ndo wanamharakisha zaidi kujiua?

Nikirudi kwenye mada naona kuna watu lazima watolewe lock ili kuwasaidia kuachana na mawazo ya kiboya ya kujiua.
 
Ni kweli , watolewe lock kivipi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…