Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,806 Reaction score 95,701 Apr 9, 2025 #21 Nomadix said: Nawashauri mabinti muepuke matumizi ya njiti&P2, utoaji wa mimba, muda ukiwadia MTASIMULIA MAUMIVU YAKE! Click to expand... Huyu ni wa kiume. Mabinti wamekukaa kichwani
Nomadix said: Nawashauri mabinti muepuke matumizi ya njiti&P2, utoaji wa mimba, muda ukiwadia MTASIMULIA MAUMIVU YAKE! Click to expand... Huyu ni wa kiume. Mabinti wamekukaa kichwani
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,174 Reaction score 18,884 Apr 9, 2025 #22 min -me said: Dokta Santos 😁😁😁 Click to expand... Ndio dokita santozi😂
Redpanther JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 3,049 Reaction score 4,301 Apr 9, 2025 Thread starter #23 G.T.L said: Hapo option nzuri isiyoleta mgogoro ni kufanya IVF Japo ina changamoto ya gharama kubwa. Jamaa awe mpole tu, tatizo likiwa kwa mwanaume option ni IVF tu labda kama atakubali atafte Surrogate father kitu ambacho ni kigumu zaidi kuishi nacho moyoni. Click to expand... Attachments Screenshot_2025-04-09-14-52-42-650_org.mozilla.firefox-edit.jpg 198.9 KB · Views: 29
G.T.L said: Hapo option nzuri isiyoleta mgogoro ni kufanya IVF Japo ina changamoto ya gharama kubwa. Jamaa awe mpole tu, tatizo likiwa kwa mwanaume option ni IVF tu labda kama atakubali atafte Surrogate father kitu ambacho ni kigumu zaidi kuishi nacho moyoni. Click to expand...
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,806 Reaction score 95,701 Apr 9, 2025 #24 Mr simple M said: Mwambie achane na huyo mwanamke atafute mgumba ili ndoa iwe na balance lkn kwa hapo the rest is history Click to expand... Nakazia. Na mwanamke akatafute wa kuzaa nae maana kama bidada angekuwa yeye ndo hazai huyo jamaa angekuwa ameshazaa nje siku nyingi.
Mr simple M said: Mwambie achane na huyo mwanamke atafute mgumba ili ndoa iwe na balance lkn kwa hapo the rest is history Click to expand... Nakazia. Na mwanamke akatafute wa kuzaa nae maana kama bidada angekuwa yeye ndo hazai huyo jamaa angekuwa ameshazaa nje siku nyingi.
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 20,877 Reaction score 43,633 Apr 9, 2025 #25 MFALME WETU said: Dr am 4 real PhD Click to expand... Asante Sana KING👑 WETU Ila sina Cha kusema maana ndoa ni kama karata unaweza ukalamba dume mwenzako akalamba garasa ama mzungu wa nne.
MFALME WETU said: Dr am 4 real PhD Click to expand... Asante Sana KING👑 WETU Ila sina Cha kusema maana ndoa ni kama karata unaweza ukalamba dume mwenzako akalamba garasa ama mzungu wa nne.