The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Akulipe tu bibie,sasa yeye kaja kuomba. Ushauri huku JFile siku kanikopa nilmwambia atalipa tu kwa namna yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akulipe tu bibie,sasa yeye kaja kuomba. Ushauri huku JFile siku kanikopa nilmwambia atalipa tu kwa namna yoyote
awali ya yote, huyo manzi hakujali kabisaa wewe na shida zako kwa sasa. Yuko very focused na malengo yake na sio kwamba hakupendi 🐒Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu.
Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000 na ukamuahidi kwamba utamrejeshea baada ya siku tano lakini baada siku moja kabla ya kufika siku ya ahadi unamuambia bila hata yeye kukuuliza kwamba hela unayotegemea kumlipa bado hujaipokea ila unamuhaidi kwamba haitovuka siku tatu nitakua nimekupatia tena zaidi hata ya uliyonipa.
Lakini kesho yake kabla hata siku uliyomuahidi kumrejeshea haijapita anaanza kuulizia tena kwa fujo yani kana kwamba wewe hujawahi kumsaidia pesa yoyote tena bila hata ya kuhitaji kurejeshewa
Je, ni kosa kumlipa hela yake na kuvunja uhusiano kimyakimya?
NB: Lengo sio kumdhulumu hela yake ila naongelea reaction yake katika kukudai kana kwamba anahisi unataka kumdhulumu hela ndogo kama hiyo
Nini maoni yako au mtazamo wako kwa mtu kama huyo ambae umeshamsaidia pesa nyingi tena mara nyingi bila hata ya kumkopesha?
Lipa Deni usitafute kuonewa huruma humu kopa kwingine lipa DeniRudia kusoma tena uzi kwa umakini
Kumbe ni wewe?ile siku kanikopa nilmwambia atalipa tu kwa namna yoyote
Kausha damu ya kisomali, ukafie mbele ulinivuna sana😂😂Mnavipa umuhimu Vitu visivyo na msingi.
Yani 20,000/= ndio ya kuvunja mahusiano? Na huyo Mpya utakayempata utampiga sound gani? Si Bora hata huyo anayekuazima visenti mbuzi usolve shida zako.
Sasa jichanganye ukutane na Kausha damu ndio utajui hujui.
ila kanilipa[emoji23]Akulipe tu bibie,sasa yeye kaja kuomba. Ushauri huku JF
apana bwan [emoji1][emoji23]Kumbe ni wewe?
Naiishi hii statementMapenzi ni gharama ukishindwa waachie wengine
Hahahaha daah, kwamba aache kutisha watuWe lipa hela buana acha vitisho vya kuacha.
Umesema ni wewe hapoapana bwan [emoji1][emoji23]
m nae mdai na cm kafungaUmesema ni wewe hapo
Emu nipe Namba yako nikutwangie tuongee Jambo 1m nae mdai na cm kafunga
0672......,,zilizobaki natumia za mamaEmu nipe Namba yako nikutwangie tuongee Jambo 1
Njoo unipe huku0672......,,zilizobaki natumia za mama
ata nakujua sasa unakosemea uko[emoji1]mie mgeni,,kwanza hodiiiNjoo unipe huku