Unamtafsiri vipi mwanamke mwenye tabia hii?

Unamtafsiri vipi mwanamke mwenye tabia hii?

Mpatie tu tena ikibidi azima hata kwa mwana umpe ili umalize huo msala maana hawa wanavitabia vya ajabu sana na hela zao.
 
Hao ndiyo wale ukioa zako zake, zake zake
Tabia ya kwenye level za 20,000 tsh sijui mkifika kwenye level za millions itakuaje.

Dalili ya mvua mawingu mengine jiongeze.
 
Kosa la kwanza ni kukopa hela ya mwanamke,umeyakanyaga hapo!
 
Hela ya mwanamke ni yake, Ila Ela yako wewe ni yenu.
 
Huyo anakupenda Ila hakuamini

Love and trust

Sasa MTU ni bora asikupende Ila akuamini
 
Back
Top Bottom