Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
🤗🤗🤗🤗🤗 maelekezo yanafata soon...Haha Nimeingia mzima mzima. Nipe maelekezo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤗🤗🤗🤗🤗 maelekezo yanafata soon...Haha Nimeingia mzima mzima. Nipe maelekezo tu
Kwani vikongwe sio watu jamani, mnawaonea wivu tuSiku zinakuja utakaposema...nataka mwanaume yeyote ilimradi anapumua...si mnawakataa waoaji kisa mnatunzwa na vikongwe?🤣🤣🤣🤣
Yaani huyo mchokozi sanaOi hebu muache Lenie we hujui mdogo wetu Satoh Hirosh kaweka nanga ??? 😂 😂 😂
ntakupenda wewe na huyo bwana akokitambo sana
Uzima upo ndg yangu?🤗🤗🤗🤗🤗 maelekezo yanafata soon...
Umeweka mto augodoro si Tako Hilo!View attachment 2600305
Awe hvi tu mpka nyumba na gari za urithi nampa
Aje hapa chapu kabla sijafirisika
make kwanza nicheke 😅😅😅😅ntakupenda wewe na huyo bwana ako
Tusiingilie mambo ya watu mkuu tutaaibika huoni Satoh Hirosh na Lenie walituumbua?😅Aisee wewe una moyo wa kiume lakini ????
Eti Glenn huyu mwamba ataweza???
MrGreen 😍😘😘😘Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu. Kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.
Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.
Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue. Inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia, pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.
Wa kwangu anajulikana. Haya kazi kwenu, tiririka.
Au ni hiyo sufuria uliyovaa kichwani ndiyo inakufanya kichwa chako kitumike kama mfuniko wa shingo tu?ACHA UJINGA WEWE.YANI MWANAUME UNAJISHUSHA KIASI HIKI, KWANI KUNA MBUMPA NGAPI HAPO UNAPOKAA MPKA UJE UJISHUSHE HIVI NA KUJIDHALILISHA HIVI?
Ndio ubavu wako mdogo wangu?
Swadaktaaa namna hiyooo ndio inatakiwa.. umepnde na hadi alie mzaantakupenda wewe na huyo bwana ako
Baba watoto wangu.😁😁😁Ndio ubavu wako mdogo wangu?
Mdogo wetu kawa adimu sana au kageuka Kaka wa Nyumbani???Tusiingilie mambo ya watu mkuu tutaaibika huoni Satoh Hirosh na Lenie walituumbua?😅