Waache tu wajinyonge..Wana Zengo πππ
Sasa mwenzio nipo vijijin huku nalimaWaache tu wajinyonge..
So niandae ki-date..si ndio mrembo?
Dah hata nikishusha sijui uko wapi na uko na nani wakati Mimi hapa ni dereva bodaboda tu na uwezo wangu ni wa kukunulia chapati na maharage na kivazi Cha kijora.πͺπͺπͺShusha nichane nielewe somo
πππ tenaa kazi ni kazi tuDah hata nikishusha sijui uko wapi na uko na nani wakati Mimi hapa ni dereva bodaboda tu na uwezo wangu ni wa kukunulia chapati na maharage na kivazi Cha kijora.πͺπͺπͺ
Joan anakutakia mambo mazuri unakataaje mrembo, π,, au umesahau mkataa pema pabaya panamuita?Naamin bwana Extrovert atakua bora ktk watu bora ndo mana umenichagulia dada yangu ila mim sina ubora wakutosha.Tumuache apate kilicho bora sawa sawa na yeye
Mashaallah, hizo ni staftahi zinazosaidia zoezi la kubaiolojiana kuwa mubashara zaidi. Nitazidi kumuhusudu mlengwa kwa kiwango cha Standard GejiNa kuna mashangazi, hilo tabasamu ndo taswira yao asilia bila makeups wala nywele iliyochomwa/iliyounguzwa....
Sema wanakuwa na nyama nyama za kupigisha kale kakelele ka rinda za ndani (pichu na bra)....
Kipo kwa mbaliπππππππππ hakina ata kijiuchebe?
Mkuu mmeniita Mara nyingi Sana.Oi hebu muache Lenie we hujui mdogo wetu Satoh Hirosh kaweka nanga ??? π π π
Ila wewe na huyo Manyanza dah!!ππSatoh Hirosh tulimwambia hawezi hilo fuso atafute ist akatuona mafala, kiko wapi?
Tunapewa shuhuda na masponsa na Lenie π€£
Lenie ametamka leo kuwa wewe huna pumzi ametangaza kumchukua kijana mwenzako Analyse wewe utakuwa muosha vyombo na usafi.
Njoo nikupe zangu,Mimi ninazo ila sizipendi maana ni ushubwada wa wanawake huo.Ngoja nijaribu ku gugo huwenda wakaniambia jinsi ya kutengeneza Dimpozii πππ