Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Waache tu wajinyonge..Wana Zengo ๐๐๐
So niandae ki-date..si ndio mrembo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache tu wajinyonge..Wana Zengo ๐๐๐
Sasa mwenzio nipo vijijin huku nalimaWaache tu wajinyonge..
So niandae ki-date..si ndio mrembo?
Dah hata nikishusha sijui uko wapi na uko na nani wakati Mimi hapa ni dereva bodaboda tu na uwezo wangu ni wa kukunulia chapati na maharage na kivazi Cha kijora.๐ช๐ช๐ชShusha nichane nielewe somo
๐๐๐ tenaa kazi ni kazi tuDah hata nikishusha sijui uko wapi na uko na nani wakati Mimi hapa ni dereva bodaboda tu na uwezo wangu ni wa kukunulia chapati na maharage na kivazi Cha kijora.๐ช๐ช๐ช
Joan anakutakia mambo mazuri unakataaje mrembo, ๐,, au umesahau mkataa pema pabaya panamuita?Naamin bwana Extrovert atakua bora ktk watu bora ndo mana umenichagulia dada yangu ila mim sina ubora wakutosha.Tumuache apate kilicho bora sawa sawa na yeye
Mashaallah, hizo ni staftahi zinazosaidia zoezi la kubaiolojiana kuwa mubashara zaidi. Nitazidi kumuhusudu mlengwa kwa kiwango cha Standard GejiNa kuna mashangazi, hilo tabasamu ndo taswira yao asilia bila makeups wala nywele iliyochomwa/iliyounguzwa....
Sema wanakuwa na nyama nyama za kupigisha kale kakelele ka rinda za ndani (pichu na bra)....
Kipo kwa mbali๐๐๐๐๐๐๐๐๐ hakina ata kijiuchebe?
Mkuu mmeniita Mara nyingi Sana.Oi hebu muache Lenie we hujui mdogo wetu Satoh Hirosh kaweka nanga ??? ๐ ๐ ๐
Ila wewe na huyo Manyanza dah!!๐๐Satoh Hirosh tulimwambia hawezi hilo fuso atafute ist akatuona mafala, kiko wapi?
Tunapewa shuhuda na masponsa na Lenie ๐คฃ
Lenie ametamka leo kuwa wewe huna pumzi ametangaza kumchukua kijana mwenzako Analyse wewe utakuwa muosha vyombo na usafi.
Njoo nikupe zangu,Mimi ninazo ila sizipendi maana ni ushubwada wa wanawake huo.Ngoja nijaribu ku gugo huwenda wakaniambia jinsi ya kutengeneza Dimpozii ๐๐๐