Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikawa na wasiwasi na Half american Analyse Binadamu Mtakatifu au Johnnie Walker kuna wataniibia tunda langu😀😀😀😀😀😀😀huna mpinzani sijatakwa hata kidogo
Wasikuogopeshe hata hakuna mwenye kunitaka hapoNikawa na wasiwasi na Half american Analyse Binadamu Mtakatifu au Johnnie Walker kuna wataniibia tunda langu😀😀😀
Nasubiria mention za mademu mpaka nasema inabidi nioge bahariniNikawa na wasiwasi na Half american Analyse Binadamu Mtakatifu au Johnnie Walker kuna wataniibia tunda langu😀😀😀
Ndo tunasubiri tuopolewe daaah! Sijui tuna damu ya kunguni? Nikajua umemuopoa National Anthem 🤭😅We na nduguzo National Anthem & mzabzab mshaopolewa au bado???
Malkia wangu wa sheba😀 lazima nichunge mzigo wangu🤣Wasikuogopeshe hata hakuna mwenye kunitaka hapo
hahaha tukaoge na maji ya bahari 🤣🤣Nasubiria mention za mademu mpaka nasema inabidi nioge baharini
Jf kweli akuna alienipenda na utakatifu wangu
Mzigo uko salama usijaliMalkia wangu wa sheba😀 lazima nichunge mzigo wangu🤣
Ahhh, mie ndio kwanza nimegundua mnacheza mchezo wa kuopoana humu. Atakuwa aliopolewa mwanzoni mwanzoni ndio maana kimya kimezidi! 🤓Ndo tunasubiri tuopolewe daaah! Sijui tuna damu ya kunguni? Nikajua umemuopoa National Anthem 🤭😅
Uje utufurahishe na sisi basi 🙂Jana sikupata muda wa kuingia na nikikumbuka nadaiwa na Antonnia nikagoma kabisa kuingia...
Hahaa basi niopoe hata kiuongo uongo na mimi nionekane jamani tangu saa 8 mchana mpaka hii saa 7 usiku bado sijaopolewa 🤔Ahhh, mie ndio kwanza nimegundua mnacheza mchezo wa kuopoana humu. Atakuwa aliopolewa mwanzoni mwanzoni ndio maana kimya kimezidi! 🤓
Na ulishinda humu???🤣🤣🤣🤣🤣Hahaa basi niopoe hata kiuongo uongo na mimi nionekane jamani tangu saa 8 mchana mpaka hii saa 7 usiku bado sijaopolewa 🤔