Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Oyaa Gily ndege wako kapeperuka huku 😅😅
Mimi Gily naandika talaka hii kwa mpenzi wangu Leejay49 tarehe 27/4/2023. Ya kwamba kwa dhati ya moyo wangu nimeamua kukuacha na kuvunja ndoa yetu ambayo uliifanya kuwa ndoano!

kwa kushindwa kutimiza mahitaji yangu ya kindoa mfano kuninyima unyumba na kunipikia uji wenye mabuja makubwa ya kunikaba hadi kulazwa na nilivyokuonya hukuacha tabia zako hizo. Kunipikia wali ukautia ndimu tangia lini wali ukatiwa ndimu. Kutaka gari vitz wakati kwenye ukoo wetu aliyenunua gari ni yule baba mdogo anayechukua watu misukule!.

Hivyo basi kuanzia leo mimi na wewe sio wanandoa tena na naomba muumba anjijaalie nisikukumbuke tena Wala nisiwaze kupasha kiporo. Hata ukinipa kiporo nakisusa kitakuwa kimechacha kutokana na tabia ya Half american kula bila kunawa mikono na kulamba sana vidole vyake bila sababu ya msingi. .

Barua hii naituma kupitia washenga wangu Johnnie Walker, Binadamu Mtakatifu na mshamba_hachekwi . Pia nakukumbusha tu kuanzia leo sina ujamaa na wewe mwambie mjomba wako Analyse na shangazi yako Lenie warudishe hela yangu niliyowaazima sikukuu ya eid. La sivyo tutakutana mahakamani. .

La msingi sijazaa na wewe Leejay49 maana ningepata watoto wa kenge kama ulivyo mama yao😀
IMG_20220713_230946.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasira za nn mkuu au ni manzi wako mkuu? Umesoma kichwa cha habari cha uzi huu vzuri?

Inakera kuona wanaume wa siku hizi(baadhi) kujishusha hovyohovyo kisa nini?

huyo dada ushawahi kumuona?

Mwanaume anavutiwa na kile anachokiona na hajishushi hovyo.
 
Mimi Gily naandika talaka hii kwa mpenzi wangu Leejay49 tarehe 27/4/2023. Ya kwamba kwa dhati ya moyo wangu nimeamua kukuacha na kuvunja ndoa yetu ambayo uliifanya kuwa ndoano!

kwa kushindwa kutimiza mahitaji yangu ya kindoa mfano kuninyima unyumba na kunipikia uji wenye mabuja makubwa ya kunikaba hadi kulazwa na nilivyokuonya hukuacha tabia zako hizo. Kunipikia wali ukautia ndimu tangia lini wali ukatiwa ndimu. Kutaka gari vitz wakati kwenye ukoo wetu aliyenunua gari ni yule baba mdogo anayechukua watu misukule!.

Hivyo basi kuanzia leo mimi na wewe sio wanandoa tena na naomba muumba anjijaalie nisikukumbuke tena Wala nisiwaze kupasha kiporo. Hata ukinipa kiporo nakisusa kitakuwa kimechacha kutokana na tabia ya Half american kula bila kunawa mikono na kulamba sana vidole vyake bila sababu ya msingi. .

Barua hii naituma kupitia washenga wangu Johnnie Walker, Binadamu Mtakatifu na mshamba_hachekwi . Pia nakukumbusha tu kuanzia leo sina ujamaa na wewe mwambie mjomba wako Analyse na shangazi yako Lenie warudishe hela yangu niliyowaazima sikukuu ya eid. La sivyo tutakutana maharani. .

La msingi sijazaa na wewe Leejay49 maana ningepata watoto wa kenge kama ulivyo mama yao😀
View attachment 2601246
Yaaani huyu Leejay49 majanga anaacha watu waaminifu anatamba na wabana pua kinaa Half american
 
Mimi Gily naandika talaka hii kwa mpenzi wangu Leejay49 tarehe 27/4/2023. Ya kwamba kwa dhati ya moyo wangu nimeamua kukuacha na kuvunja ndoa yetu ambayo uliifanya kuwa ndoano!

kwa kushindwa kutimiza mahitaji yangu ya kindoa mfano kuninyima unyumba na kunipikia uji wenye mabuja makubwa ya kunikaba hadi kulazwa na nilivyokuonya hukuacha tabia zako hizo. Kunipikia wali ukautia ndimu tangia lini wali ukatiwa ndimu. Kutaka gari vitz wakati kwenye ukoo wetu aliyenunua gari ni yule baba mdogo anatechukua watu misukule!.

Hivyo basi kuanzia leo mimi na wewe sio wanandoa tena na naomba muumba anjijaalie nisikukumbuke tena Wala nisiwaze kupasha kiporo. Hata ukinipa kiporo nakisusa kitakuwa kimechacha kutokana na tabia ya Half american kula bila kunawa mikono na kulamba sana vidole vyake bila sababu ya msingi. .

Barua hii naituma kupitia washenga wangu Johnnie Walker, Binadamu Mtakatifu na mshamba_hachekwi . Pia nakukumbusha tu kuanzia leo sina ujamaa na wewe mwambie mjomba wako Analyse na shangazi yako Lenie warudishe hela yangu niliyowaazima sikukuu ya eid. La sivyo tutakutana maharani. .

La msingi sijazaa na wewe Leejay49 maana ningepata watoto wa kenge kama ulivyo mama yao[emoji3]
View attachment 2601246

ONA JINGINE HILI,

Yaani unakaa mtu mzima kama wewe unaadika kinyesi kingi hivi kisa nini?

Mbona wanaume tunakuwa wajinga kiasi hiki?

wewe ni jobless?, homeless? au under 20 yrs
 
Inakera kuona wanaume wa siku hizi(baadhi) kujishusha hovyohovyo kisa nini?

huyo dada ushawahi kumuona?

Mwanaume anavutiwa na kile anachokiona na hajishushi hovyo.

Wewe em tulia bwana!!! Namtaka [mention]Bantu Lady [/mention] em wewe kijana tulia kwanza!!! Au unataka nikutake wewe? Acha tabia zakishoga wewe ndo bantu lady?
 
Mimi Gily naandika talaka hii kwa mpenzi wangu Leejay49 tarehe 27/4/2023. Ya kwamba kwa dhati ya moyo wangu nimeamua kukuacha na kuvunja ndoa yetu ambayo uliifanya kuwa ndoano!

kwa kushindwa kutimiza mahitaji yangu ya kindoa mfano kuninyima unyumba na kunipikia uji wenye mabuja makubwa ya kunikaba hadi kulazwa na nilivyokuonya hukuacha tabia zako hizo. Kunipikia wali ukautia ndimu tangia lini wali ukatiwa ndimu. Kutaka gari vitz wakati kwenye ukoo wetu aliyenunua gari ni yule baba mdogo anayechukua watu misukule!.

Hivyo basi kuanzia leo mimi na wewe sio wanandoa tena na naomba muumba anjijaalie nisikukumbuke tena Wala nisiwaze kupasha kiporo. Hata ukinipa kiporo nakisusa kitakuwa kimechacha kutokana na tabia ya Half american kula bila kunawa mikono na kulamba sana vidole vyake bila sababu ya msingi. .

Barua hii naituma kupitia washenga wangu Johnnie Walker, Binadamu Mtakatifu na mshamba_hachekwi . Pia nakukumbusha tu kuanzia leo sina ujamaa na wewe mwambie mjomba wako Analyse na shangazi yako Lenie warudishe hela yangu niliyowaazima sikukuu ya eid. La sivyo tutakutana mahakamani. .

La msingi sijazaa na wewe Leejay49 maana ningepata watoto wa kenge kama ulivyo mama yao😀
View attachment 2601246
Hela sisi tulishakula, kama vipi mtafute Leejay49 akupoze mmalizane 😅😅
 
Wewe em tulia bwana!!! Namtaka [mention]Bantu Lady [/mention] em wewe kijana tulia kwanza!!! Au unataka nikutake wewe? Acha tabia zakishoga wewe ndo bantu lady?

Ona hata unavyo komenti inaonyesha jinsi gani hujitambui na hujielewi.

Unadhani ukikoment sana kuhusu huyo sister au yyte unapewa kwa huruma.

MWANAUME HAJISHUSHI HOVYO NA NYIE MNAOONYESHA HISIA WAZWAZ NDO WANAUME AMBAO WANAWAKE HAWAWAKUBALI
 
Mimi Gily naandika talaka hii kwa mpenzi wangu Leejay49 tarehe 27/4/2023. Ya kwamba kwa dhati ya moyo wangu nimeamua kukuacha na kuvunja ndoa yetu ambayo uliifanya kuwa ndoano!

kwa kushindwa kutimiza mahitaji yangu ya kindoa mfano kuninyima unyumba na kunipikia uji wenye mabuja makubwa ya kunikaba hadi kulazwa na nilivyokuonya hukuacha tabia zako hizo. Kunipikia wali ukautia ndimu tangia lini wali ukatiwa ndimu. Kutaka gari vitz wakati kwenye ukoo wetu aliyenunua gari ni yule baba mdogo anayechukua watu misukule!.

Hivyo basi kuanzia leo mimi na wewe sio wanandoa tena na naomba muumba anjijaalie nisikukumbuke tena Wala nisiwaze kupasha kiporo. Hata ukinipa kiporo nakisusa kitakuwa kimechacha kutokana na tabia ya Half american kula bila kunawa mikono na kulamba sana vidole vyake bila sababu ya msingi. .

Barua hii naituma kupitia washenga wangu Johnnie Walker, Binadamu Mtakatifu na mshamba_hachekwi . Pia nakukumbusha tu kuanzia leo sina ujamaa na wewe mwambie mjomba wako Analyse na shangazi yako Lenie warudishe hela yangu niliyowaazima sikukuu ya eid. La sivyo tutakutana mahakamani. .

La msingi sijazaa na wewe Leejay49 maana ningepata watoto wa kenge kama ulivyo mama yao😀
View attachment 2601246
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 make kwanza nicheke, naona umeniandikia walaka😅🙌
 
Ona hata unavyo komenti inaonyesha jinsi gani hujitambui na hujielewi.

Unadhani ukikoment sana kuhusu huyo sister au yyte unapewa kwa huruma.

MWANAUME HAJISHUSHI HOVYO NA NYIE MNAOONYESHA HISIA WAZWAZ NDO WANAUME AMBAO WANAWAKE HAWAWAKUBALI

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachukulia mambo serious sana mkuu! unataka kujifanya smart hata kwenye mambo madogo kama haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo kwenye kujitambua nakujielewa nakuachia wewe utajua mwenyewe
 
Back
Top Bottom