Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mwee kumbe huwa mnafagilia wanaume weupe, sasa zile habari za tall dark guys huwa zinatoka wapi, mara mwanaume akiwa mweupe hapendezi anakuwa kama Pisi [emoji2][emoji2]View attachment 2601791
Vipi upo kama huyu? Unandevu kama huna usinisumbue PM [emoji2][emoji2][emoji2]