Sio kweli mkuu, humu ndani jokes nyingi tu. Ngoja sasa nikupe Siri
Half american account yake nyingine ni
Leejay49
Glenn account yake nyingine ni
Evelyn Salt
Analyse account yake nyingine ni
Lenie
Gily account yake nyingine nadhan unaijua 😅😅😅
Sasa zile comments zote unazoona, kila mmoja wetu alikuwa anacomment na account moja,Kisha anaenda kujijibu na account nyingine 😅😅😅.
So usipate stress mkuu, na ww fungua account yako ya kuwapanikishia watu 😅😅😅
Natania, lakini nipo siriasi 😅😅